ibrah0102
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 455
- 759
Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi
Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema:
“Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.”
Kanisa hilo lilikuwa sehemu ya hifadhi ya raia waliokuwa wakikimbia mashambulizi huko Gaza.
Ifahamike kua Palestine kuna Wakristo wengi kuliko Israil, wakristo hao ni Sehemu ya wahanga wa Mauwaji yanayo sababishwa na Utawala Vamizi wa Walowezi wa kiyahudi Katika Miji ya Palestine.
Wale wanao shabikia bila kufahamu kua Israel wao hawathamini chochote hata kama utakua Upande wao na kuwaona Ni bora kuliko wewe na kizazi chako bado Sio sababu ya wao kuacha kuuwa au kuharibu Nyumba zenu za Ibada.
Kwenye maoni ya kwanza utalioni kanisa hilo kabla ya uharibifu uliotokana na Shambulio la makusudi, Wakristo wa Palestine pamoja na Italy wamelaani vikali Shambulio hilo walilo liita la makusudi.
Yapi maoni yako