Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 581
Keshokutwa tu mtaanza kumporomoshea matusi akimtetea wa CCM kwa kutumia kanuni hizo hizoMwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
Mmh wewe mama mwezi mtukufu huu, utaharibu mfungo wakoHakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.
Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.
Halafu mnajifanya wajuaji.
Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Punguani wahed.
Duh!!!Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.
Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.
Halafu mnajifanya wajuaji.
Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Punguani wahed.
Alikuwa akiwaita WANAFKIMwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
wewe ndiyo mwalimu wangu wa busara hafu unashusha matusi makubwa hivyo hapo , mbaya zaidi ni mfungo wa Ramadan ....mie nimekusamehe...asante kwa marekebishoHakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.
Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.
Halafu mnajifanya wajuaji.
Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Punguani wahed.
Mmh wewe mama mwezi mtukufu huu, utaharibu mfungo wako
Kiukweli kabisa zungu na chenge wanaongozaga bunge kwa busara sana kulinganisha na tulia and ndugai..... kumbuka siku Assumpta anamzushia mbowe kuhongwa pesa za IPTL mombasa.... jinsi alivyohandle hakuna mwana ccm angefanya vile sio tulia ama ndugaiKeshokutwa tu mtaanza kumporomoshea matusi akimtetea wa CCM kwa kutumia kanuni hizo hizo