Iddi Zungu awataka Wabunge wasimsumbue Tundu Lissu, wamuache atoe mchango wake

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
579
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
 
Keshokutwa tu mtaanza kumporomoshea matusi akimtetea wa CCM kwa kutumia kanuni hizo hizo
 
Tatizo wale watu huwa akili zao zinashikwa na watu
Hata kama wanajua wanakosea wataendelea kua pamoja na ubaya huwa hawasomi
 
Unganisha doti, Ni mtu wa karibu sana na mzee wetu wa Chadema na walikuwa kamati moja ya bunge kable mzee hajaama!
 
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
 
Mmh wewe mama mwezi mtukufu huu, utaharibu mfungo wako
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
Duh!!!
 
Mwenyekiti wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Iddi Azzani Zungu , Ni miongoni mwa wenyeviti imara bungeni katika kuendesha vikao vya bunge , kwenye mjadala wa jana wa azimio la bunge la kumpongeza Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania ....Lissu alizongwa sana na wabunge kutoka chama tawala , na wakawa wanashinikiza Lissu aache kuchangia hoja lakini , Mwenyekiti Zungu alimtetea sana Lissu na akimtaka achangie hoja na asizongwe zongwe.
Alikuwa akiwaita WANAFKI
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
wewe ndiyo mwalimu wangu wa busara hafu unashusha matusi makubwa hivyo hapo , mbaya zaidi ni mfungo wa Ramadan ....mie nimekusamehe...asante kwa marekebisho
 
Keshokutwa tu mtaanza kumporomoshea matusi akimtetea wa CCM kwa kutumia kanuni hizo hizo
Kiukweli kabisa zungu na chenge wanaongozaga bunge kwa busara sana kulinganisha na tulia and ndugai..... kumbuka siku Assumpta anamzushia mbowe kuhongwa pesa za IPTL mombasa.... jinsi alivyohandle hakuna mwana ccm angefanya vile sio tulia ama ndugai
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom