Iddi Zungu awataka Wabunge wasimsumbue Tundu Lissu, wamuache atoe mchango wake

Mwisho wa siku wakubaliane tu kutokukubaliana na ile kitu iwe ''maamuzi wa Wabunge wa CCM kumpongeza Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM''. Nadhani hakutakuwa na ugomvi wowote kwenye hilo.
 
Hakuna Mwenyekiti wa bunge anaeitwa Iddi Azzan. Iddi Azzan aliwahi kuwa mbunge wa Kinondoni kwa sasa hayupo tena bungeni.

Mwenyekiti ni Mussa Azzan "Zungu" ambae ni mbunge wa Ilala.

Halafu mnajifanya wajuaji.

Sasa ulitaka Mwenyekiti asimkubali mjumbe wake?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Punguani wahed.
Tulikuwa tumekumic mama, " shule mnaenda kusomea ujinga"
 
Back
Top Bottom