Iddi, Simba wa Nyika Nguruma!

Rev.Kishoka,

..nadhani Idi Simba alitolewa kafara wakati alikuwa akitekeleza maamuzi ya baraza la mawaziri.

..sijui kwanini wabunge walikuwa wanamuogopa Mkapa kiasi kile.

..mpaka leo siamini kwamba wabunge na press nzima walikuwa wanamwandama Sumaye kwa kukodisha shamba la eka 7 pale Kibaigwa, wakati Mkapa amekwapua mgodi wa Kiwira.

- Kama ninavyosema siku zote kwamba hatuwezi kukaa kimya huku historia ya siasa ya taifa letu ikiharibiwa kwa yale tuliyoyaona kwa macho, hii kampeni ya kuwasafisha mafisadi original, sijui inaendeshwa na nani hasa maana sio siri kuna mkono mzito sana behind hii kampeni, sio bure:-

- Idd Simba hawezi kuwa shujaa wa anything, zaidi ya ufisadi huyu ndiye aliyeuza NBC akishirikiana na Kigoda, na Sumaye, walipojaribu kuuza NMB ndipo wajanja wakampa Mzindakaya info za ufisadi wake wa kuuza sukari ya jeshi kwa mwendo wa kifisadi, akajifanya yeye ni rafiki wa karibu sana wa Mkapa, wabunge wakamgomea kwamba ajiuzulu, Sumaye kutaka kumuokoa akamwita Mkapa, kwenye kikao dharura cha wabunge wa CCM Dodoma, Mkapa akaingia kwenye kile kikao na matusi mazito sana dhidi ya Mzindakaya kwamba "anajifanya mlipuaji mabomu, kumbe ni mpumbavu tu!", ndipo wabunge karibu wote wakamgomea Mkapa kwamba ni lazima Idd Simba aondoke tena haraka sana,

- Mkapa akawaita Chamwino wabunge ili awanyamazishe, wabunge wakamgomea kwamba ni lazima aondoke, na Mzindakaya akamuahidi Mkapa kwamba atamlipua mpaka na yeye, ndipo Mkapa akampa hela za kutoka BOT lakini kwa compromise na Simba kuondoka uwaziri, siku alipoondoka uwaziri Mkapa akasema amepokea hati ya kujiuzulu kwa Simba kwa moyo mzito sana, baada ya kuondolewa uwaziri Simba akaanza mbio za kutafuta urais, kwa kuwashinikiza Waisilamu kuandamana na kuleta fujo kama kawa wazito wakamgundua kupitia kwa KK, ndipo akaitwa CC na kuonywa kwamba atarudishwa kwao Burundi mara moja asipoacha huu ujinga,

- Hakukoma bado akaanza mambo ya uzawa again akitafuta urais, ndipo CCM wakamtupa nje kwenye uenyekiti wa Wazazi, na kumpa onyo na karipio kali sana kwamba asichezee moto, onyo ambalo alipewa na Kawawa ndani ya CC, sasa leo ni shujaaa? Is that so au tunajaribu kudanganyana kwa makusudi kukiwa na lengo kubwa sana behind it!

- Idd simba ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati maalum ya bunge iliyotumwa na bunge kumchunguza Mbilinyi na Mkapa mwenyewe akiwa Rais, kuhusu shutuma za hela za rushwa za minofu ya samaki info ambayo Mrema alipewa na Mzindakaya, akatoa ripoti kwamba Mbilinyi alihusika na rushwa hizo lakini akawa bubu on mkapa, hapo hapo yeye na katibu wake Masilingi wakapewa uwaziri, leo huyu ni shujaaa?

- Hivi huwa hatufuaitlii siasa za taifa letu or what? i mean haya mambo mbona hata hayana miaka mingi toka yatokee? richimonduli si imefanyika majuzi tu, ndio maana tunasema kuna kampeni kubwa sana inyaoendeshwa hapa, au ni simply arrogancy tu ya kujifanya kujua na wengine wote ni wajinga, maana nikisema mimi basi JF watakubali tu, maana this thing does not make a sense at all, vile vibali vya sukari ya jeshi walivyotajirikia navyo Marwa na Kinje, walivitoa wapi kama sio kwa huyu Idd Simba?

Jamani hebu oneni huruma kidogo na hili taifa, Idd Simba sio shujaa ni fisadi tena original, anastahili kuwa Segerea!

Respect.

FMEs!
 
Mkuu,

Kwa hiyo CCM wanamjua mtu kwao Burundi miaka yote hii halafu wanamlea tu, ndivyo tunavyoendesha nchi hivi? Yaani mtu mpaka anafikia kuwa na clout ya kuweza kugombea urais?

Hili jambo lina akili kweli? Mtu kawa Waziri sehemu nyeti miaka yote hiyo kumbe Mrundi? Wamemruhusuje?
 
I like the way you screw their .ss.s!bigup mpiganaji
 
ukija kwenye uchumi.....
ukiaangalia mawaziri wa sasa,na wazamani.
hakuna aliye na uwezo mkubwa kama iddi simba
kwenye masuala ya viwanda na uchumi,
 
Mkuu,

Kwa hiyo CCM wanamjua mtu kwao Burundi miaka yote hii halafu wanamlea tu, ndivyo tunavyoendesha nchi hivi? Yaani mtu mpaka anafikia kuwa na clout ya kuweza kugombea urais?

Hili jambo lina akili kweli? Mtu kawa Waziri sehemu nyeti miaka yote hiyo kumbe Mrundi? Wamemruhusuje?

Iddi Simba ni mzawa wa Rufiji kijiji alichotoka ni MOHORO. Kusema mrundi ni kumsingizia tu ila baba yake ana asli ya Burundi.

hakuna mchumi mahiri na msema kweli na anependa kusaidia wazawa zaidi yake.

Nakupa Big up Mzee Idi Mohammed Simba
 
FMES said:
- Kama ninavyosema siku zote kwamba hatuwezi kukaa kimya huku historia ya siasa ya taifa letu ikiharibiwa kwa yale tuliyoyaona kwa macho, hii kampeni ya kuwasafisha mafisadi original, sijui inaendeshwa na nani hasa maana sio siri kuna mkono mzito sana behind hii kampeni, sio bure:-
FMES said:
- Idd Simba hawezi kuwa shujaa wa anything, zaidi ya ufisadi huyu ndiye aliyeuza NBC akishirikiana na Kigoda, na Sumaye, walipojaribu kuuza NMB ndipo wajanja wakampa Mzindakaya info za ufisadi wake wa kuuza sukari ya jeshi kwa mwendo wa kifisadi, akajifanya yeye ni rafiki wa karibu sana wa Mkapa, wabunge wakamgomea kwamba ajiuzulu, Sumaye kutaka kumuokoa akamwita Mkapa, kwenye kikao dharura cha wabunge wa CCM Dodoma, Mkapa akaingia kwenye kile kikao na matusi mazito sana dhidi ya Mzindakaya kwamba "anajifanya mlipuaji mabomu, kumbe ni mpumbavu tu!", ndipo wabunge karibu wote wakamgomea Mkapa kwamba ni lazima Idd Simba aondoke tena haraka sana,

- Mkapa akawaita Chamwino wabunge ili awanyamazishe, wabunge wakamgomea kwamba ni lazima aondoke, na Mzindakaya akamuahidi Mkapa kwamba atamlipua mpaka na yeye, ndipo Mkapa akampa hela za kutoka BOT lakini kwa compromise na Simba kuondoka uwaziri, siku alipoondoka uwaziri Mkapa akasema amepokea hati ya kujiuzulu kwa Simba kwa moyo mzito sana, baada ya kuondolewa uwaziri Simba akaanza mbio za kutafuta urais, kwa kuwashinikiza Waisilamu kuandamana na kuleta fujo kama kawa wazito wakamgundua kupitia kwa KK, ndipo akaitwa CC na kuonywa kwamba atarudishwa kwao Burundi mara moja asipoacha huu ujinga,

- Hakukoma bado akaanza mambo ya uzawa again akitafuta urais, ndipo CCM wakamtupa nje kwenye uenyekiti wa Wazazi, na kumpa onyo na karipio kali sana kwamba asichezee moto, onyo ambalo alipewa na Kawawa ndani ya CC, sasa leo ni shujaaa? Is that so au tunajaribu kudanganyana kwa makusudi kukiwa na lengo kubwa sana behind it!

- Idd simba ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati maalum ya bunge iliyotumwa na bunge kumchunguza Mbilinyi na Mkapa mwenyewe akiwa Rais, kuhusu shutuma za hela za rushwa za minofu ya samaki info ambayo Mrema alipewa na Mzindakaya, akatoa ripoti kwamba Mbilinyi alihusika na rushwa hizo lakini akawa bubu on mkapa, hapo hapo yeye na katibu wake Masilingi wakapewa uwaziri, leo huyu ni shujaaa?

- Hivi huwa hatufuaitlii siasa za taifa letu or what? i mean haya mambo mbona hata hayana miaka mingi toka yatokee? richimonduli si imefanyika majuzi tu, ndio maana tunasema kuna kampeni kubwa sana inyaoendeshwa hapa, au ni simply arrogancy tu ya kujifanya kujua na wengine wote ni wajinga, maana nikisema mimi basi JF watakubali tu, maana this thing does not make a sense at all, vile vibali vya sukari ya jeshi walivyotajirikia navyo Marwa na Kinje, walivitoa wapi kama sio kwa huyu Idd Simba?

Jamani hebu oneni huruma kidogo na hili taifa, Idd Simba sio shujaa ni fisadi tena original, anastahili kuwa Segerea!

Respect.

FMEs!

FMES,

..tume iliyoundwa kuchunguza suala la vibali vya uagizaji sukari haikumkuta Iddi Simba na makosa yoyote yale ya kula rushwa. tume hiyo iliongozwa na JAJI BERNARD LUANDA.

..pia Tume ilieleza bayana kwamba suala la kuanzisha utaratibu wa kutoa vibali vya kuagiza sukari liliamuliwa na BARAZA LA MAWAZIRI.

..nadhani wabunge walikuwa na madukuduku yao dhidi ya Idi Simba hivyo wakaenda kwenye "fishing trip" na kuja na malalamiko ya kila aina. kwa mfano kuna Wabunge walioibua suala la Idi Simba kukiuka taratibu za ubinafsishaji wa Nasaco etc etc.

..ni hizo tofauti na matatizo zake na wabunge ndizo zilizomuondoa, lakini suala la sukari Tume ya Jaji Bernard Luanda haikumkuta na makosa yoyote.

NB:

..kuhusu suala la Prof.Simon Mbilinyi naomba kufafanua kwamba kilichomuondoa ni madai ya kutoa misamaha ya kodi kwa makampuni ya minofu ya samaki.

..madai ya Mrema yalihusu msamaha wa kodi kwa makampuni ya mafuta.

..madai ya Mrema yalitupiliwa mbali na Tume na ndiyo maana Mrema akawa mpaka na kesi mahakamani.

..sina uhakika ni nani aliibua hili suala la ziada kuhusu minofu ya samaki. nadhani anaweza kuwa Mzindakaya au Stephen Wassira "Tyson" wakati ule akiwa mbunge wa NCCR.

[/U][/COLOR]

- Mkulu Joka Kuu, ishu ya Sukari na Idd Simba, sihitaji kusubiri kamati hawa Kinje na Marwa ni washikaji wa karibu sana ndio maana ninajua nani aliyekua akiwapa vile vibali, infact walikuwa mpaka na vitambulisho maalum kutoka JW wao pale Airport walikuwa wanaweza kuingia mpaka ndani ya ndege yoyote na kutoa mzigo wowote bila kuguswa, kutokana na vibali hivyo walivyopewa na Simba on sukari ya jeshi.

- Aliyemng'oa uwaziri Idd Simba, ni Mzindakaya na ishu ya sukari ya jeshi not anything else, ya kamati siyajui, Mzindakaya alipoibua ishu ya sukari na jeshi, Simba alimjibu kijeuri sana ndani ya bunge na kumpelekea Mzindakaya kumpa a verbal warning kwamba atamng'oa waziri, Simba akatamba kwamba yuko karibu sana na rais Mkapa, nothing will happen in the end Simba akaachia ngazi, ya kamati siyajui mkuu!

- Suala la Mkapa na Mbilinyi, kula Shillingi Millioni 900 za minofu ya samaki, liliibuliwa na Mzindakaya kwanza, CCM wakamtisha akampasia Mrema, ambaye aliivalia njuga mpaka ikaundwa kamati ya bunge, Masilingi akiwa Mwenyekiti na Simba katibu wake kuchunguza ukweli wa hilo deal. In the end ni Mporogoyi aliyekwua waziri mdogo wa pesa ndiye aliyewalipua kwa hiyo kamati Mkapa na Mbilinyi kwamba walihusika kweli na huo ulaji, Mkapa aliposikia hayo kwa hasira kali sana akamfukuza kazi tena akiwa Zimbabwe kuwakilisha taifa.

- Idd Simba na kamati yake wakasema kwamba hawakuona kitu kwenye uchunguzi wao, lakini wameona "harufu ya rushwa" kwenye ushiriki wa Mbilinyi na ishu nzima, hawakumgusa Mkapa kabisa, the next thing wakapewa uwaziri, yaani Masilingi na Simba, bunge likajaribu sana kumsafisha Mbilinyi kutokana na mkono wa Mkapa, aliyekua akijitayarisha kumpa uwaziri mkuu, ni kwenye CC ndiko Kawawa alikomlazimisha Mbilinyi kuachia ngazi.

- Kesi ya Mrema, ilikuwa ni kumhusisha Rais na kasha hii nzito ya minofu ya samaki bila kuwa na ushahidi kesi ambayo baadaye pia ilimbana Lamwai mpaka kuishia kurudi CCM, Tyson was never involved, kilichomuondoa Mbilinyi ni hela za rushwa Sillingi Millioni 900, alizoshutumiwa kuhusika yeye na Mkapa kama rais, not anything else!

Respect.

FMEs!
 
Mhh, Iddi Simba, mzawa, mchacharikaji, muadilifu, msema kweli, mchapa kazi yu wapi shujaa huyu?

Mkuu Rev, mtu ukiwa na racist policies Tanzania nafasi yako ni ndogo sana. Ukiwa na nationalistic ideas ambazo hazina base kama za Mzee Simba, basi huna maisha marefu kisiasa
 
Back
Top Bottom