DUNIANGUMU JR
Member
- Apr 20, 2011
- 43
- 14
Atahamia chadema lini na anakesi ya kujibu? na majaliwa ya mahakama zetu zinasubiri mwongozo! yamkini akitoka chadema itakuwa na wanachama wa kutosha na kwa kulingana na vitabu vya dini kuishi sana miaka 70
Baada ya kuwaudhi watu ndani ya CCM na wao kumuandalia mpango kabambe wa kumfilisi baada ya ile skendo ya UDA kuna tetesi zimeenea hapa mjini kuwa IDDI SIMBA yuko mbioni kuhamia CHADEMA
narudia hizi ni tetesi lakini kama mtu Iddi Simba leo akihamia CHADEMA naamini kuwa yale mashamba yooote yaliyopo ngara aliyowauzia wamarekani yatarudi mikononi mwa wa Tanzania.
M4C for life!
hapo kwa aden rage ndugu yangu mbona kama ushabiki wa mpira sasa! Embu tuambie tatizo la rage maana mi sijui! Kala hela za kumuuza samatha?
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums