Iddi Ligongo uko wapi?

Iddi Ligongo uko wapi?

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
1,596
Reaction score
1,725
Mtajwa hapo juu alikuwa msanii wa kaole sanaa group mbona simsikii yupo kweli?
 
Hebu weka picha yake tumuone mkuu
8f69b14bbc854420243302770286624b.jpg

from left: Idd ligongo, Julius Nyaisanga na Betty Mkwasa

enzi za ITV.
 
Anakuja sana bongo..amenawiri..tatizo ulabu..all in all ana maisha mazuri..Masters ..kila LA hero!
 
Ni kweli kwamba huyo jamaa alipokuwa Kaole alikunywa sumu kwa kukataliwa penzi na Norah? Nasikia ndiyo sababu ya kuondoka Kaole alipopona.
 
Ni kweli kwamba huyo jamaa alipokuwa Kaole alikunywa sumu kwa kukataliwa penzi na Norah? Nasikia ndiyo sababu ya kuondoka Kaole alipopona.
Biko, kipindi hicho tunakula mapema tuinjoi mchezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom