Mkuu hao ndio Serengeti boys/girls, badala ya kusoma historia wao wamekazana na magazeti ya Shigongo mwanzo mwisho.Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.
Na mbabe pia! Niliangalia Hotel in Rwanda,jamaa ni noma!
we kijana umelewa eeh? watu tuko "siriasi" we unaleta mzaha, ng'ombe we!
Idd Amin na Rwanda wapi na wapi ndugu yangu? Amin alikua raisi wa Uganda sio Rwanda, na hata kwenye Hotel Rwanda Idd Amin hajachezwa kabisa coz hahusiani na kule. Hotel Rwanda inahusu 1994 Rwanda genocide sasa sijui Idd Amini ulimuona kwenye Hotel Rwanda ipi? Btw 1994 Amin hakua in power even in Uganda.
iddiamin ni kamanda wa ukweli,,,sio wakwenu wanagongeana glass na kupigia salute wezi,,,bure,ovyo kabitha,,,
Duh Amin alituwakisha waAfrika ipasavyo.
Na mbabe pia! Niliangalia Hotel in Rwanda,jamaa ni noma!
usisahau Rise and Fall of Idd AminHis excellency, president for life, last king of scotland, conquer of British Empire. Muuaji mkubwa,sijui alikwepa the hague vipi vipi?