NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.
Na malipo ya sh 800 milioni alipwe ndani ya wiki moja.
Gharama ya kesi ni milioni 800 ambazo kisheria anatakiwa alipwe Idd Simba, na Serikali imetakiwa kumuomba radhi.
Wasiofikishwa Kortini mnashinikiza wafikishwe,wakifikishwa mnadai danganya toto,Basi nanyi nanyi ni danganya toto pengine mna agenda ya MALIWATONI,
​hivi mzee Idd tumemwacha kwa mengi naumia sana nikikumbuka suala la sukari.
Tunapumbazwa tu..Mbona
mafisadi wakubwa kama Kikwte, Lowasa, Rostam, Chenge na wengine
hawafikishwi mahakamani au wao ni Mungu watu.....
Ingeleta matumaini kwa kuanza kutoa hukumu za kesi za vigogo zilizotangulia!
Labda
alikuwa amesinzia wakapitisha bila yeye kuliona, maana Hosea ana brush
kali sana ya kuwasugulia hawa wezi,mpaka wanang'aa.
Hivi
kesi ya Mramba iliishia wapi?
kwa nini raia tusichukuwe sheria mkononi kama zenji tuuu kieleweke?
Baada ya miaka 4 ya kesi;
Breaking news: IDDI simba Ashinda kesi, na hakimu ameamuru serikali imlipe gharama zote za kesi
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. hosea anatakiwa kuwasilisha mahakamani ushahidi
wa kuishawishi beyond reasonable doubt na sio circumstantial. kama haupo
afanyeje?
ccmlongolongo.com
Mie namjua MUHUTU kisha anatupiga mihela yote hiyo tutafute vijana wa kiarabu kama misri