Vile vyeo vyote alivyovitamani katika maisha yake alipokua rais alijipa, hakuwahahi kupokea Victoria Cross lakini kwa power ya urais alijipa. There will never be a person like him.
Vile vyeo vyote alivyovitamani katika maisha yake alipokua rais alijipa, hakuwahahi kupokea Victoria Cross lakini kwa power ya urais alijipa. There will never be a person like him.
Waganda wanasema hawatakaa wapate rais kama huyu, kwanza hakuruhusiwa mtu kutoka nje ya nyumba yake na ndala (kandambili). Ukionekana umevaa kiatu hicho unapewa adhabu (kichura kwa kwenda mbele). Hata kama unatoka nyumbani kwako kwenda dukani tu nyumba ya pili, unatakiwa uwe kwenye kiatu na soksi na tai juu.