Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,180
Reaction score
22,800
Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji.

Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA ZAWADI TO MAMBAS. Ni bora kuwalisha Mamba hao CCM.
 
Hili goma acha liendelee kutamalaki, tunachange tu description, badala ya mtoto Iddi tunaweka TUPENDAE... Imeasisiwa kitaifa wacha tuwarithishe vizazi vijavyo... mchezo hautaki hasira huu.
 
Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya muuaji.

Chakula Cha Mamba (CCM) HAWAFAI KABISA KUSIKITIKIWA. HAO SI BINADAMU NI WANYAMA WA KUPEWA ZAWADI TO MAMBAS. Ni bora kuwalisha Mamba hao CCM.
Kwa huyu, Tanzania nzima italipuka kwa vigelegele, bila kujali vyama vya siasa. Tena huko CCM ndiko kutakuwa na sherehe kabisa.

Kukitokea fursa, maiti ya huyu inaweza kuburuzwa kwenye mavumbi nyuma ya pickup; kama walivyofanya wasomali na maiti za wamarekani.

Mtu anayeua waTanzania kwa sababu tu ya kutaka kutia watu hofu wasihoji madaraka yake ya kubaki kwenye utawala; na mbaya zaidi hata maiti kuzinajisi kama ilivyo fanyika; akifa leo ni haki ya waTanzania kusherehekea tukio hilo.
 
Back
Top Bottom