MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 171
Kiukweri nimekua nikisikia kunawanawake wengi kuzidi idadi ya wanaume hiv ni kwer?
Na kama kwer hata Tz ni hv pia?
Na kama kwer kwann mapenz mengi tunakua katka foren yaan mwanamke anakua na wanaume zaid ya mmoja?hapo m nltegemea wanawake weng wawe loose!
Source:mm mwenyewe kwani wanawake wengi nliowai wataka nakuta wanawanaume wao na hata nlio wapata naishia kujitoa kutokana kuja kugundua tupo wengi?!!
We upande wako umekaaje kwan upande wangu nashindwa hata kupata demu tuu kwa sabab hii!"