Idadi ya Wanawake inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Idadi wanawake duniani inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua. Je pawepo na utaratibu kila dume liwe na wake zaidi ya mmoja?
 
Idadi wanawake duniani inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua. Je pawepo na utaratibu kila dume liwe na wake zaidi ya mmoja?

Mambo moto, hujui mbona tayari wanaume wengi wanawanawake zaidi ya mmoja. Swala ni lini itakuwa wazi kijamii na kisheria
 
Yaani usemayo ni kweli
Kwa mwaka huu nimeona kina dada Ten wamejifungua kati yao mmoja tu ndio amejifungua mtoto wa kiume ..wengine tisa watoto wa kike
Sijui mungu ana mpango gani na kizazi hiki?
 
Yaani usemayo ni kweli
Kwa mwaka huu nimeona kina dada Ten wamejifungua kati yao mmoja tu ndio amejifungua mtoto wa kiume ..wengine tisa watoto wa kike
Sijui mungu ana mpango gani na kizazi hiki?

Kuzaliwa msichana ni mpango wa mwanaume,akipenda atazaa mtoto wa kiume!!!
Kama hujaelewa watafute wataalamu watakupa validity ya statement kwamba

"It's a husband who decides the next child to either be a boy or girl"

Tatizo wanaume wengi tunafanya mapenzi kama jogoo fasta fasta tu bila mpango
 
Idadi wanawake duniani inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua. Je pawepo na utaratibu kila dume liwe na wake zaidi ya mmoja?

mh mbona mi ndugu zangu weng wamezaa watoto wa kiume?
wa kike mmoja tu
 
Idadi wanawake duniani inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua. Je pawepo na utaratibu kila dume liwe na wake zaidi ya mmoja?

ni katika harakati za kuhalalisha infiiii?
au katika kujitukuza kwamba ur so scarct?
au ni bdhaa adimu sana?
so kila mkitakacho ni poa cz hampo weng?mnaringa?

bora yangu mie mwenye jinsia mbili .....i better remain neutral :A S-baby:
 
Mimi kwa mama yangu tuko wanaume watupu, lakini sipingi idea ya huyu jamaa asilimia kubwa ya watoto wanaozaliwa kwa sasa ni wa kike, hata wakizaliwa wakiume wengi wao wanapata birth asphyxia natabiri kizazi kijacho wanawake watakuwa na akili zaidi kuliko wale wa kiume
 
MH! Labda lakini mimi nilionao jirani yaani marafiki ndugu, na majirani niliwahi waona na mimba karibu wote wamejifungua watoto wa kiume
 
Kuzaliwa msichana ni mpango wa mwanaume,akipenda atazaa mtoto wa kiume!!!
Kama hujaelewa watafute wataalamu watakupa validity ya statement kwamba

"It's a husband who decides the next child to either be a boy or girl"

Tatizo wanaume wengi tunafanya mapenzi kama jogoo fasta fasta tu bila mpango
nipe shule kamanda
 
Ha ha haaa! Hata kama mtoa mada anatania, ukweli ni kuwa Baibo haikosei, kuna mahali fulani imeandikwa hivi; "Wanawake kumi watamshika mwanamme mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu, tutavaa(kwa gharama yetu?) lakini tu tuitwe kwa jina lako!!!" So, no matter how lazima hayo yatimie, yeyote anayepata katoto kamiss ajitahidi kukasomesha na kukafundisha utafutaji....!!!
 
Mimi kwa mama yangu tuko wanaume watupu, lakini sipingi idea ya huyu jamaa asilimia kubwa ya watoto wanaozaliwa kwa sasa ni wa kike, hata wakizaliwa wakiume wengi wao wanapata birth asphyxia natabiri kizazi kijacho wanawake watakuwa na akili zaidi kuliko wale wa kiume

Wanawake ni wengi sana duniani karibu mara tatu zaidi ya wanaume,hebu tazama eviden ce hapa
Ni hivi kuna chromosomes za aina mbili kwa binadamu

X- chromosome which stands for femaleness and
Y- chromosome which stands for maleness

Ndani ya shahawa ya mwanaume kuna chromosomes XY.Na ndani ya yai la mwanamke kuna chromosomes XX.
Mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili hutengeneza kiumbe ambacho kitaalamu huitwa zaigote,kiumbe huyu ni matokeo ya mchanganyiko wa chromosomes toka kwa baba na chromosomes toka kwa mama yaani XXXY.

Sasa ukiangalia hapa kwenye XXXY probability ya kupata mtoto wa kike ni robo tatu wakati probability ya kupata mtoto wa kiume ni robo moja tu,au kwa maneno mengine ni kwamba wakizaliwa watoto wanne basi wa kike ni watatu na wa kiume ni mmoja!...Nafikiri hii ndio sababu hasa inayowafanya wanawake kuwa wengi duniani ..

Kuhusu hilo la akili nadhani si kweli
 
Duhhhhh
Hali ikiwa mbaya sana
Itabidi turudi kipindi kile
Cha mke zaidi ya mmoja .
Is just a suggestion...
Labda mambo ya infi na kutoka nje
ya ndoa zitapungua

Sababu itakuwa halali....
 
nipe shule kamanda

Ni hivi mbegu ya kiume au gameti(XY) ina sifa moja,huwa inatoka kwa spidi kubwa sana.Lakini hiyo Y-chromosomes iliyopo kwenye gameti inaishiwa nguvu na kufa haraka kuliko X-chromosome wakati wakiwa safarini kwenda kukutana na yai(haimalizi siku tatu inaishiw anguvu na kufa)

Mbegu ya kike(XX) au yai linatoka kwenye via vya uzazi(ovari) kwa spidi ndogo sana na huchelewa kufa mpaka ifike kwenye mji wa mimba(huchukua takriban siku 14 kusafiri kutoka kwenye fallopian tube mpaka inapokuja kufa kwenye uterus,na ikifa ndiyo tunasema mwanamke amepata hedhi au ame-bleed )

Sasa kama wewe ni mwanaume na unataka mtoto wa kiume, jaribu kukutana kimwili na mkeo siku mbili hadi moja kabla hajapata hedhi,hapa kuna probability kubwa ya kupata mtoto wa kiume,sababu ile Y-chromosome toka kwa baba itakuwa haijaishiwa nguvu wakati huo huo yai la kike litakuwa limesogea sana kwenye mji wa mimba(uterus).

Lakini kama unataka mtoto wa kike,jaribu kukutana na mkeo siku ya nne au ya tano kurudi chini kabla hajapata hedhi
angalia jinsi nilivyomjibu Dr G hapo chini ikusaidia kunielewa zaidi
 
Mbona wanawake wengi nao wana mabwana zaidi ya mmoja. Wanawatoa sayari gani?
 
nadhani hali itakuwa mbaya zaidi. manake wanaume hao wachache bado wapo watakaokuwa mashoga...lowering the number of men (properly so called)even further!
 
Back
Top Bottom