econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 23,969
- 37,271
Mashahidi wa Lissu wako wangapi?
Watatu
Mashahidi wa Lissu wako wangapi?
Sasa kukinukisha ndio uhaini? Ujinga mtupu.Hizi sheria kweli za kishetani na hili nimeliona katika hii kesi.
Huyo Lisu si ndio alisema atakinusha na video watu waliona, kosa hili moja tu kwa sheria za kiuadilifu angekuwa ameshahukumiwa zamani sana. Nashangaa jambo linaenda muda wote huo na mashahidi wote hao wa nini ? Kupoteza muda na kuonyesha madhaifu ya sheria zenu.
USHETANI MTUPU HUU.
Section 143 of the Evidence Act, 2019....................Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
kukinukisha ni nini kisheria. ni kufanya uhaini kupindua nchi, kuua,kuandamana, what exactly it was intended,motive to do what. ushahidi lazima uonyeshe.Hizi sheria kweli za kishetani na hili nimeliona katika hii kesi.
Huyo Lisu si ndio alisema atakinusha na video watu waliona, kosa hili moja tu kwa sheria za kiuadilifu angekuwa ameshahukumiwa zamani sana. Nashangaa jambo linaenda muda wote huo na mashahidi wote hao wa nini ? Kupoteza muda na kuonyesha madhaifu ya sheria zenu.
USHETANI MTUPU HUU.
Mbona kukinukisha lina tafsiri pana mno na ni neno la mitaani. Kitu Kimenuka maana halisi kitu kimeharibika na kutoa harufu. siku hizi linatumika kama figurative language. Hapa kuna shida ya tafsri kisheriaSasa kukinukisha ndio uhaini? Ujinga mtupu.
Wamuue tu hadharani! Na wafanye hivyo mapema!Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Alisema vitu viwili 1"ndiyo tutafanya uhaini" 2.tutazuia uchaguzi mkuuKwa hivyo kuzuia uchaguzi mkuu ndio uhaini?.
Vielelezo vile vile vinavyojirudia kwa mashahidi wa Jamhuri... Ngoja waje waanze kunuka!Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
[emoji1787] Mkuu embu nijulishe mtu akisema atakinukisha Maanayake ni nini?.Hizi sheria kweli za kishetani na hili nimeliona katika hii kesi.
Huyo Lisu si ndio alisema atakinusha na video watu waliona, kosa hili moja tu kwa sheria za kiuadilifu angekuwa ameshahukumiwa zamani sana. Nashangaa jambo linaenda muda wote huo na mashahidi wote hao wa nini ? Kupoteza muda na kuonyesha madhaifu ya sheria zenu.
USHETANI MTUPU HUU.
Alisema vitu viwili 1"ndiyo tutafanya uhaini" 2.tutazuia uchaguzi mkuu
Ni upumbavu tu! Hii kesi ingekuwa inasimamiwa na mahakimu kama wa Kenya ingekuwa imeshatupwa!Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Hii tafasri yako sijaikubali kiongozi. Mtu mwenye uaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwaje mhaini tena?Mtu ambaye ana uaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hivi unajua kuwa CCM kumewsfanya wengi mpoteze uwezo wa kufikiri? Lini uzito WA kesi ukapimwa Kwa wingi wa mashahidi? Kuna Shahidi alikwenda kumchukua Lissu akiwa ameshakamatwa akampeleka Dar, kamaliza. Kuna mwingine kaandika anuani tu kwenye maelezo ya Lissu, ushahidi unaishia hapo, kuna mwingine eti Mtu kwenda JKT ni kuwa mwanajeshi amemaliza, yaani Mimi niliyekwenda JKT 2012 Leo ni Kamanda sijui Nina Cheo gani?Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Dunia ngumu sana hii, hii ni sawa na kusema namtaka mwenye mbwaMashahidi 30 ni wengi ila wote wanakuwa muflis,ila shahid watatu wa TAL ni hatar kama kaa la moto,sa100,majaaliwa,mpango
Watapungua kadri kesi itakavyokuwa inakwenda hasa pale watakapoanza kujichanganya kwa maelezo yao.Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Mtu yeyote anayefikiri sawasawa ataona tu kuwa hapa hakuna kesi! Ni upuuzi tu.Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
mbona unaweweseka gentleman?🐒Kitengo cha propaganda cha ccm kingetangaza kazi wangepata watu wanaomudu hiyo kazi.
Ninachoona kwa sasa ni machawa tu.
Imagine mtu kama
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
George wa tahliso
funaku
Rounded mouth
Ndio wasemaji..
"kukinukisha" maana yake nini mkuu, hasa kisheria.Hizi sheria kweli za kishetani na hili nimeliona katika hii kesi.
Huyo Lisu si ndio alisema atakinusha na video watu waliona, kosa hili moja tu kwa sheria za kiuadilifu angekuwa ameshahukumiwa zamani sana. Nashangaa jambo linaenda muda wote huo na mashahidi wote hao wa nini ? Kupoteza muda na kuonyesha madhaifu ya sheria zenu.
USHETANI MTUPU HUU.
Hapo wana-imply kwamba mtu mwenye akili timamu , mtaalamu wa sheria na mwenye misingi wa uzalendo kuilinda nchi anatakiwa kuwa mwaminifu au mtiifu kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hata kama viongozi wake wanachokifanya hukubaliani nacho ndio maana yake. Mimi nimetafsiri walivyojitungia sheria yao ijapokuwa kwa mtindo wa kesi ya TAL ni ya kisiasa inahusu kikundi kilichoko madarakani sio tishio kwa wnanchi hata kidogo.Hii tafasri yako sijaikubali kiongozi. Mtu mwenye uaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwaje mhaini tena?