Uhaini (kutoka neno la Kiarabu خيانة, "khiyāna", yaani Usaliti) ni kosa la kusaliti nchi yako, kwa kawaida kwa kujaribu kupindua serikali, kuendesha vita dhidi ya taifa, au kusaidia maadui wake kwa njia yoyote ile.Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Je KUKINUKISHA NI UHAINI?
Nini maana ya KUKINUKISHA?
Sijui Kama Kuna kesi hapa