Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

Idadi ya mashahidi ni 30 vielelezo ni 9

Ukishaona rundo la mashahudi ujue ni mashabidi wa kutengenezwa. Ushahidi halisia hata mashahidi wawili wanatosha kumtia mtu hatiani. Hilo rundo la mashahidi wa kutengenezwa limewekwa ili kurefusha muda, ili waendelee kumtesa Lisu na kumzuia kurudi iraiani kufanya siasa.

Mashetani na mawakala wao wanahangaika sana.

Mungu wa huruma awalaani hawa watu wanaodhulumu haki za watu.
Cha kushangaza mashahidi wote wanaongelea tukio moja tu kana kwamba walikusanyika kwenye kibanda umiza wamuangalia TL
 
Hizi sheria kweli za kishetani na hili nimeliona katika hii kesi.

Huyo Lisu si ndio alisema atakinusha na video watu waliona, kosa hili moja tu kwa sheria za kiuadilifu angekuwa ameshahukumiwa zamani sana. Nashangaa jambo linaenda muda wote huo na mashahidi wote hao wa nini ? Kupoteza muda na kuonyesha madhaifu ya sheria zenu.

USHETANI MTUPU HUU.
Mkuu kunukisha kwa tafsiri ya kamusi ya kawaida ni vita, ugaidi, uasi au uhaini kweli???

Kimsingi kunukisha kuna husisha harufu, mzizi wake ni nuka! Tuambie mahusiano hapo yako wapi na uhaini???
 
Kitengo cha propaganda cha ccm kingetangaza kazi wangepata watu wanaomudu hiyo kazi.
Ninachoona kwa sasa ni machawa tu.
Imagine mtu kama
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
George wa tahliso
funaku
Rounded mouth
Ndio wasemaji..
Utacheka muda mwingine Lucas Mwashambwa akiwa juu ya baiskel yake isiyokua na upepo hapo Songwe anasema atamjibu Gwajima ambae ndio kwanza anapaki VX V8...
 
Kama una akili japo ndogo ya kutunza kumbukumbu, utakuwa unafahamu kuwausu alikuwaanaijibu barua ya G55, waliosema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni uasi, na Lisu akasema kuwa,"ni kweli utakuwa ni uasi dhidi ta sheria gandamizi". Kwa hiyo kwako wewe, kusema hivyo, ni kupindua Serikali?
Asante sana Kwa ufafanuzi. Kumbe ndo kiini cha kukamatwa Kwa TAL?
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayall

paschal mayalla
Hakuna kesi nenda kanywe uji ulale
 
Muktadha wa tamko hilo lilitamkwa na nani ? Katika mazingira gani na wakati gani na kwa munasaba gani ? Sheria zenu huwa haziangalii hilo ?

Kukinukisha ni ftna, uhalifu, uvunjifu wa amani na Uhaini, bali ni usaliti katika nchi.
Acha blah blah, hebu nijibu kisheria!

BTW una idea walau kidogo kwenye sheria?
 
Asante sana Kwa ufafanuzi. Kumbe ndo kiini cha kukamatwa Kwa TAL?
Kilichomfanya Lissu awekewe zengwe sio unayosikia ila kule kusema madini adimu yaliyoko kule kwa shemeji zangu wabena na wapangwa yana wanufaisha wachache wasio wazawa.
Akimlenga hasa yule mmoja wa network.
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Ht wafike 100 ,lissu kashaongea na msimamo wake upo wazi
Kazi kwao
 
Hii kesi ilivyotengenezwa ni Mungu tu aingilie kati, vinginevyo huyu bwana mdogo hatoboi
Labda kwasababu sheria zinapindishwa na walio na jukumu la kuzisimamia.
Hakuna uhaini unaoweza kufanywa na mtu mmoja.
Hata Mbowe alipokua anataka kukata miti na kuiangusha barabarani na kulipua vituo vya mafuta alikua na accomplices.
 
Hata wangekuwa 200 bado watashindwa Tu .ushahidi wao utakuwa kama mnara wa babeli maana kila mmoja ataongea kivyake, usifanye masihara kushindanisha ukweli dhidi ya uongo..... Kweli inamuweka MTU huru
LAKINI PAMOJA NA YOTE HAYO MPAKA MKESI INAISHA NNA LISSU KUSHINDA TUTAKUWA TUNASHEREHEKEA KUAPISHWA KWA SAMIA TAYARI MISSION DONE ANATOKA NA KUENDELEA KUWA MPINZANI KWA MIAKA MINGINE MITANO BILA RUZUKU NA ATEGEME KUBAKIPEKEYAKE KWENYE CHAMA 2030 ANAKUJA KUSHINDANA TENA NA MTU MWENYE POWER KUBWA NDANI YA CCM NAPIGWA CHINI TENA NAKUWA MPINZANI TENA MIAKA MITANO INAKUWA KUMI KISHAZEEKA
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Sababu kubwa ya kuleta mashahidi wengi ni delaying tact.
Ili by the time wote wanamaliza kutoa ushahidi uchaguzi utakua umekwisha.
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Unaweza kuwa na mashahidi MILLION MOJA lakini inategemeana na kitu kinachosemwa kilikuwa kimetokea. Lissu alisema waziwazi na mimi na wewe tulisikia wote. Hilo ni Treason????? Huyo wakili wa serikali ni bomu sidhani kama anajua asemalo huyo lofa.
 
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi.
N.B
Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi na vielelezo.
paschal mayalla
Kwani ni idadi ya mashahidi ndiyo inayo'determine' ukubwa wa kesi, au ni aina ya ushahidi unaotolewa ndio unao'determine' ukubwa wa kesi? Shahidi mmoja tu wa kuaminika anatosha.
 
Back
Top Bottom