Idadi na aina ya kazi kwa wageni nchini..

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Habari wana sheria,
Kumekuwa na wimbi kubwa kwa makampuni mengi ya nchini kuajiri wafanyakazi wasio wananchi wa Tz..mara nyingi ni wakenya..hasa katika fani zifuatazo.
.Engineering
.Accountancy and Finance
.Pilots
.hotels management
.Human resource
naomba kujua idadi kwenye kampuni moja na ni kazi zipi zinazopelekea mgeni awe qualified kuajiriwa tz..
 
Hili ni kweli kabisa. Aidha wengi wao hawana hati za kuwepo nchini kihalali. Wengi wao wako mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga. kwa kuwa wanazungumza kiswahili fasaha, basi kimewahalalisha kuwa Watanzania. Je hii ni haki? Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba Mtanzania yeyote akienda kutafuta kazi Kenya hatapewa hata kama "anakwalifikesheni" zote. Usawa upo wapi hapa. Viongozi wa Tanzania kama kawaida yao mambo kama haya wanayapuuzia. Imefika wakati Watanzania tuamke na viongozi wawe na uchungu na nchi yao na wananchi wao.
 
haya mambo viongozi hawayaoni na kila kukicha wanadai ajira hazipo...wakati kila kukicha rundo la wakenya wanajazana tz..ukiwakuta hawana vibali halali vya kuishi, walionavyo wengi wanahongahonga kurenew na labor hawajui hili....mikoa ya Arusha ndio balaa kabisa..immigration imekuwa ni biashara processing ya hati moja ni $100 hadi $150 hiyo haina receipt..
 
Habari wana sheria,
Kumekuwa na wimbi kubwa kwa makampuni mengi ya nchini kuajiri wafanyakazi wasio wananchi wa Tz..mara nyingi ni wakenya..hasa katika fani zifuatazo.
.Engineering
.Accountancy and Finance
.Pilots
.hotels management
.Human resource
naomba kujua idadi kwenye kampuni moja na ni kazi zipi zinazopelekea mgeni awe qualified kuajiriwa tz..

Kwa sasa orodha ya wafanyakazi kutoka EAC wanaoruhusiwa kufanya kazi Tanzania inapatikana kwenye schedule ya EAC Common Market Protocol ( Free Movement of Workers) Regulations,ambao ni pamoja na PhD holders as lecturers in public universities,nursery and primary schools teachers,civil engineers e.t.c. Hao wengine wote ni IRREGULAR MIGRANT WORKERS.
Tanzania hakuna idadi ya kuajiri raia wa kigeni isipokuwa kwenye uwekezaji (Foreign Direct Investment ) tu ambapo idadi ya kwanza ni wafanyakazi tano (subject to extension ). Katika sekta nyingine mwajiri anaruhusiwa kuajiri idadi yoyote ya watu provided that he must show that there are no local personnel with such skills. In short, in tanzania you can hire any number of foreign workers if they are HIGHLY SKILLED and that no local personnel have such skills.

Read the National Employment Promotion Services Act,1999, the Investment Act,1997 and the Immigration Act, 1995 together with the Employment Policy,2008
 
Ahsante sana mkuu kwa kunielimisha...
 
Back
Top Bottom