Dalili za Sodoma na Gomola hizi,na kwa kadri huu uchafu unavyojadiliwa ndivyo unavyo paishwa unazidi kupata umaarufu,
Wengi walianza kupenda wowowow
BADAE tukunyema
Sasa watu wakaona haitoshi mwanaume anatamaniwa
Hii mwenyezi Mungu atuponye nayo lakini sijui watt wetu wa mwaka 2025 watakuwaje.
Comrade, inaelekea wewe hujasoma stori za Sodoma na Gomorah...yaani mambo haya yalikuwepo zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, na dunia hii bado inadunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.