secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,926
- 50,891
Naheshimu uamuzi wako mama watoto πSimsamehi
Karibu kibaruani deiwaka wa JFPunguani wewe, punga usiye na soko
Dumenipe id ya huyo mwanao kama ni wakike niwe mentor wake humu ndaniπ
Kabisa aisee!Mtafuteni bana kapotea muda mrefu sana!
HatimaeWhy can't you just be real!? Woga wa nini sassπππΏβ
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..
ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu fekiππΏππΏββ
ID za uzinzi nknk
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?π
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...πView attachment 3667736
safi sana I think kijana atajifunza mengi sana humu ndaniDume
πππππ Heee sasa kulikuwa na haja gani kusema anataka kukulipa?True story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahauππππΏ kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10Kβ
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuruπππ Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! ππΏ
My apologiesNo wayolensi today ππΏππΏββπ€£
Babe kumbe watu wanakuzingua na huniambii nataka uwe na utulivu wa hali juu sitaki mtu akudisturbπ
Kwanza humu watu wananusaπππ,Mwenyewe siwezi kufake aisee ntajisahau tuπ
Now u know ππwatu mkaombewa na kuombewa πββοΈπββοΈπββοΈπAttention seekers..
The wanna beβs
Aisee za dini nazo zilinacha mdomo waziπ«’
Nyie matapeli wapoππ½ββοΈ ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
ππππ,umepoa.poa poa
Achana naye atalipwa na Mungu!Kaniibia, kanitapeli halafu ananidanyanga.. Nitamuachaje kwa mfanoπ€¬
Leo sijui katuoteaje kapotea! Nahisi anaandaa nyingine tusimuharibie kaziπHatimae
Seran πππkuna mtu mwenye id 7 namuona
Styl ileile ushenzi ushenzi tu...be real men
Mwanume wa kweli kutwa kubadirisha id na kuchafua watu
Km we mwanaume kweli get back to the used 1