ID zenu nyingine tunazijua

Safi sana
Moja tu hii,nilijifanya ku log out๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜kumbe password nilishaisahau kitambo sana,nikaanza kupigia watu wanipe no yangu ya secondary kama wanayo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ bahati nzuri mdogo wangu yupo vizuri Kwa kutunza ma file,,nilikuwa nawaza kuja na I'd mpya daaah,nilivurugwa.
 
Hahahaha kumbe
 
Kama ni wakike
najitolea kuwa mentor wake Bure without any payments ๐Ÿ˜

Ujue yule jamaa usingemuumbua basi angetufilisi wanachama wote wa humu kiasi cha kufanya sito tukose hata bando la kuingilia humu.
Angefilisi vipi wakati ana ID ya kusema yeye ni mhaya mjomba wake yupo Dar ni kiongozi mkubwa serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ