ID zenu nyingine tunazijua

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu huwa hawaamini kwenye id moja mimi huwa wanaforce sana niseme nina ids nyingine wakati sina hata huo muda, hii tu ishanizalishia mengi nikatafute nyingine tena, huo msalaba aisee!
Hahahaha๐Ÿ˜‚
 
Huyu wakuitwa Busu la Kenge anatoa kozi ya jinsi ya kuwa na ๐Ÿ†” zaidi ya moja kaka.

Ukishindwa kumpata busu, basi nenda kwa adriz de mbusii atakusaidia.
Hivi adriz mdogo wangu kapotelea wapi jamani? Tangu tupigwe naye ban hajarudi! Zile ban watu wakahisi tuko kundi moja na kina mongolian na wewe๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ