Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,941
- 236,644
Kumbe ulishuhudia na wewe 😂😂😂😂😂😂😂🙌Usinikumbushe...
Watu wakaenda hadi Lugalo...
Wodi ya watoto waliongua wanaulizia hadi na picha wanaonesha mgonjwa hawamtambui🤣
Yesu wangu 😳Ndio hafu mwisho wa vyote ba mchungaji anaomba kyumer🙃
Ni maombi ya kisasa😎Yesu wangu 😳
Maombi gani hayo yanageuka kuombana uchi?
Ukamnyima mtumishi ulichopewa bure 🤣🤣🤣 dhambi hizoNdio hafu mwisho wa vyote ba mchungaji anaomba kyumer🙃
Angekuja kivingine sasa, style alokuja nayo nilikuwa naogopa dhambi😁Ukamnyima mtumishi ulichopewa bure 🤣🤣🤣 dhambi hizo
Sio kizembe, huyo mtu alikuwa rafiki yetu. Ni kama wewe umwagize rafiki apotee na hela siku nyingine anajicommit kuwa atalipa halipi, Wengine eneji ya kumfatilia mtu na muda wa kumfatilia hatuna.Sikutegemea mngetapeliwa kizembe hivyo
Nawaona huko inbox ila napita hivi, pia wanaona miye choka mbaya mwenzao tunaishi papatu papatu.Bro Mtili wandu wewe hujawahi kukutana na matapeli wa jf kwa muda uliokuwa humu ndani?😎
Sio tu utapeli wa kifedha, hata wa kihisia?Nawaona huko inbox ila napita hivi, pia wanaona miye choka mbaya mwenzao tunaishi papatu papatu.
Yaani hata rafiki yangu siwezi mpa hiyo hela.Labda kwa vile sina hela.Sio kizembe, huyo mtu ni rafiki yetu. Ni kama wewe umwagize rafiki apotee na hela siku nyingine anajicommit kuwa atalipa halipi, Wengine eneji ya kumfatilia mtu na muda wa kumfatilia hatuna.
Anatafuta umaarufu kwa nguvuERoni 😁
Unaweza ukakuta hilo chokoraa ndio tapel letu, mtu mwenye utimamu na kazi za kufanya huwezi amka na huu upumbavu! Ka senge vile😆
Wewe mtu gani uzi mzima analalamikiwa na watu zaidi ya 6 ila hasikii ni tahira au mwendawazimu!Anatafuta umaarufu kwa nguvu
Mimi nilishatia uko chooni tangu jana sitaki stress za kipumbavu mimi😎Ulivyonimention nimepata chance ya kumu'ignore, sipendi watu wapumbavu mimi.
Sipati picha 🙌🏿🤣Nakumbuka ulihadithia hii😂😂😂
Hasa sasa ndio matapeli waliowachongea njia wenzao sasahivi wanatiririka tu.
Wslionyesha mfano kwa vitendo kwa kumpuna kaka yetu mkurugenzi Maxence Melo .