Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,735
- 9,980
Nani alikuwa mnufaika wa hizo buku 7Kweli kabisa jamaa alitoa milioni 7, baada ya dakika Tano tukawa tumejazana kwenye pm yake ๐
Full minuno๐คฃ๐คฃ,
Sema humu nikishamsoma mtu nakaanae mbali,,,Kuna mmoja anajifanyaga kichaa na ana kundi lake linamsapoti๐คฃ๐คฃ,alijifanya anaenijua mara ooh nadaiwa vicoba,ooh bwana ako bodaboda anajitungia,,niliruka nae vile alivyotaka,,nikamsanukia Hadi pm kwake,,na nilisha mwambia Hadi nimtie mikononi๐คฃ๐คฃ,,,nilimfunga mdomo Hadi pm akafunga Kwa muda,,,
Noma sna๐คฃ๐คฃHapo kwenye kuombea watu sasa ๐
Machawa๐คฃ๐คฃ๐คฃ,Sasa si pesa zake๐maana hamsaidiki Kwa chochote๐Humu tuko macho. Tukijua tu una pesa hata ukitukanwa na member mwingine basi huyo memba tutamshambulia kwa makombora ya kibalistiki ili bosi usiumie kisaikolojia.
๐๐๐๐๐๐Ety anaombea mpaka watu duu,, mtumishi wa jf
Hata hili litapita tuu
Dogoli alimchangia Lissu milioni saba, wapiga vizinga tukajikuta tunapigana vilumbo kunako PM yake.Nani alikuwa mnufaika wa hizo buku 7
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃDogoli alimchangia Lissu milioni saba, wapiga vizinga tukajikuta tunapigana vilumbo kunako PM yake.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHata hili litapita tuu
Magumu yakizidi jua furaha inakuja๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ni katika ile hali ya kujifariji tu kwamba, labda kesho atanipa pesa n.k.Machawa๐คฃ๐คฃ๐คฃ,Sasa si pesa zake๐maana hamsaidiki Kwa chochote๐
Daaah๐,hakuna pesa ya hivyo๐,,,,akupe tu๐Ni katika ile hali ya kujifariji tu kwamba, labda kesho atanipa pesa n.k.
Imani inaponya...Daaah๐,hakuna pesa ya hivyo๐,,,,akupe tu๐
Hizi picha unzitoaga wapi mkuu
Ungetafta mganga kwanza kabla ya vyoteImani inaponya...
Sikuwaza hivyo.Ungetafta mganga kwanza kabla ya vyote
๐๐๐๐,nyie watu daaah.Imani inaponya...