Aisee ni hatari! Na wale wanaosambaza taarifa za uongo ili aonekane anajua kila kitu😅Sana,maana mie sieleweki,rangi zote 12 ninazo🤣,,,anaenijia vile naruka nae vile alivyonijia,
Humu kukaa ki masta sana,wanakuharibia.
Wapo wa Kila aina😁,,wa alelluja😁,Namjua wa aina hii pia😀
Ila ID za JF🙌🏿 .. Eti nikapewa dili ya kuteka gari iliyokuwa inapeleka pesa bank mlimani city😂😂😂
Yeah, kwa maana wewe ni zimwe linalomjua tapeli huyo natumai hautamla hadi akakwesha.Nilishamalizana naye mpaka nikaanza kumsaidia tena😂
😁😁Ila ID za JF🙌🏿 .. Eti nikapewa dili ya kuteka gari iliyokuwa inapeleka pesa bank mlimani city😂😂😂
Ila ID za JF🙌🏿 .. Eti nikapewa dili ya kuteka gari iliyokuwa inapeleka pesa bank mlimani city😂😂😂
hahaha! ni kuwapigisha zoezi kama hilo tunina zawadi yako
Aisee😂😂😂 tafadhali hata kama wewe ni binti kiziwi usiwe kiziwi kwangu.Naam? Unasema? Unamaanisha nini?
Hivi kwanza mtu anaanzaje kukaa kwa shemeji yake anakuwa anatafuta nini?Ujobless na kukaa kwa shemeji ndio chanzo
sjuiHivi kwanza mtu anaanzaje kukaa kwa shemeji yake anakuwa anatafuta nini?
Aisee kuna mambo yanahuzunisha sana humu!Wapo wa Kila aina😁,,wa alelluja😁,
Jamanii mpenzi inabidi niwe makini nisije kukatwa shingo😁Hapo Sasa😁,,,Kuna limoja likasambazia wajinga wenzie huko kuwa na date nae🤣🤣,,nilicheka sana,,
Kuna Huyu alinifuata live kaniambia una date na Fulani😁,,,,niliwajibu endeleeni kusambaza,coz hakuna anaenijua humu.