binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,961
- 47,296
Ungemloga πKuna ule mwaka nikakopeshwa kwa nguvu 2M kwa riba ya laki 6 kea mwezi. . na nililipa!
Hivi mnajua kupatwa kwa mganga nyie maumivu yake kweli!?ππΏπ kisa pussy mbofumbofu mganga akapigwa na kitu kizito sanaπ€£ππΏππΏππΏππΏ
hahahYalivyo mazuri nayapentaaaa
Ulijiachia mno.. Mimi kuna wakati kuna madogo wa JF walikuwa wanakaa na simu yangu hata masaa mawiliEmail yangu alikuwa nayo. Tulikuwa tumefika mbali kiushikaji. Na mshikaji wangu ambae ni Audiologist, alikuwa na mawasiliano nae.
Uchawi uligomaUngemloga π
Haikwenda bure.. Trust me ulibarikiwa ten times.. Maana ni kwa kutoa ndio tunapokeaππΏβπͺπΏ
Na ulikuja kama binti sayuni, hahaha π nazidi kuchekaWe acha tu, na ukiwa mgeni wanakudaka chap kwa haraka, wachungaji na waganga wa jf π
Na ujanja wote huo kweli?Mchungaji alinirudisha nyuma kidogo kirohoπ
π€Jamani maombi hayakuwa livee kheee!π
Wambea tuko tayari kula ubuyu πIla leo nitaangusha moja moja..
Kivipi?Ulijiachia mno.. Mimi kuna wakati kuna madogo wa JF walikuwa wanakaa na simu yangu hata masaa mawili
Uzi unafurahisha sana huuππNaam? Unasema? Unamaanisha nini?
Ila mkuu uganga si umekupatia fedha nyingi SANA?....na waganga wa jf..ππΏββView attachment 3667935
Unafurahia mwenyewe mzee weweπNa ulikuja kama binti sayuni, hahaha π nazidi kucheka
Anakufa baada ya kupokea hela? πππ»ββοΈKama alikufa jeπ
π πWhy can't you just be real!? Woga wa nini sasaπππΏβ
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!
ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu fekiππΏππΏββ
ID za uzinzi nknk..βββ
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?π
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wakoβ
ID ZENYU TUNAZIJUA...πView attachment 3667736