ID zenu nyingine tunazijua

Wapo wengi tu mfano; ana andika post yake isiyo na ushahidi wowote/porojo za kijiweni unamjibu, anakuja na Id nyingine kutukana? Na akishatukana, anakuja na Id nyingine kujipa like?
Tunawajua ILA tunawapotezea. Ushauri acheni kutukana watu na ID zenu feki!
Watu wenye maarifa hushindana kwa hoja na sio kwa matusi!
 
huwa akifanya hivyo huwa anapata faida gani? mie nikiona una ID mbili mbili una badili badili na kuona CHIZI FRESH
 
Yule mwana aliyefiwa na mkewe Kibaha.. Halafu mdogo wake ndio akawa ana report huo msiba na kuomba assist JF kumbe ni scam tulikuwa tunapigwaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
 
Ulikuwa na hela za kuchezea πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…