ID za JF bana. . . .

Gongo,wanzuki, chibuku. Pingu hizi zote kwa jina moja tuna ziita
Pombekali
 
Bibi cacico (babu Asprin, si unaona tabia yako ya kuoa vitoto sasa huyu mdogo wangu inabidi nimuite bibi..AAAARGH)
eniwei...huyo ndo jina lake halisi..lisome vizuri!!! unaeza kuta wa huko kwenu maana na ww lako utata tu!
khaaaaaa Mentor umetoka haoneymoon na Catherine lini?? lol! naona umechokaaaaaaa! sijakuona siku mbili hizi, lol
 
Last edited by a moderator:
angalia usiibake, dhambi ujue kubaka! lol! hubby nakupendaje sasa?
Hivi bestee..... mie nna haja ya kukuambia nakupenda? Weye si wajua kuwa nakupenda ile hamna mfano? Atakayekupokonya moyoni mwangu na apate kitambi mgongoni.....
 
Hivi unajua avatar yako nimeifanya screen saver yangu?

mwahhhhhhh! hubby umenimith?

Hapa naibuthu screen yangu tu. Ntafanyaje thatha? Nakumithije thatha??

angalia usiibake, dhambi ujue kubaka! lol! hubby nakupendaje sasa?

mkoloni uliyeajiri hawa watu ona resources zako zinavyotumiwa vibaya manake sasa wanabakana hata maofisini kupitia screen za vipakato juu vyao. angalia badala ya kujaza leja na kubalance sheet anabakwa na huyu kuli ambaye nimemshuhudia akipotelewa na kontena moja lenye topaz wakat anashughulika screen.
 
khaaaaaa Mentor umetoka haoneymoon na Catherine lini?? lol! naona umechokaaaaaaa! sijakuona siku mbili hizi, lol

nimechokaje bibi...acha tu! yani mai wife :catherine ukitaka kumuelezea basi sikiliza album nzima ya Akon...African queen, she can chop ur money, makes u wanna mek love to her kila seunde, yaaanii...me love her sooo much!
Hapa kaniachia kidogo anaanda mlo wa mchana...ndo nimejiiba!!!
Ivi bibi, wewe na babu mlienda wapi honeymoon!?? Kijijini Sitindi??
 
mkoloni uliyeajiri hawa watu ona resources zako zinavyotumiwa vibaya manake sasa wanabakana hata maofisini kupitia screen za vipakato juu vyao. angalia badala ya kujaza leja na kubalance sheet anabakwa na huyu kuli ambaye nimemshuhudia akipotelewa na kontena moja lenye topaz wakat anashughulika screen.

Hahahaha! Kuku wangu mwenyewe, manati ya nini? Come zis way cacico my wife material.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye avatar ndio balaa. Kuna yule mwenye bichwa la nazi. . . Huwa ananikumbusha naniliu

Weeeeeee ishia hapo hapo ntakupiga ban, tehe tehe tehe. nazi mdondo kutoka bagamoyo
 
Back
Top Bottom