Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Umeanza hivi vi-emoji.
Yaani mimi sijui ni ushamba au nini yaani sivipendagi!
Bora hata viandikwe na mwanamke, mwanaume akiandika na akaweka hivi vijitu huwa namwonaje sijui.
Yaani mimi niliingia siku moja siku hiyo hiyo nikatoka...
Wengi kule wanastress na wapo single wapiga punyeto wakubwa.

Huyo ni mwanamke mkuu...Umeanza hivi vi-emoji.
Yaani mimi sijui ni ushamba au nini yaani sivipendagi!
Bora hata viandikwe na mwanamke, mwanaume akiandika na akaweka hivi vijitu huwa namwonaje sijui.
Huyo ni mwanamke mkuu...
Anzia info ya kwenye profile, ukiona huna imani nayo angalia nyuzi alizoanzisha na posts zakeUmejuaje?
Anzia info ya kwenye profile, ukiona huna imani nayo angalia nyuzi alizoanzisha na posts zake
bahati nzuri umesahau jinsi ya ku'tag hahahahahCc jje's
Hizo PM zinazoingia zinavumilika kweli?mm yangu nagawa bureeeee kwa anayeitaka
Mkuu nikufundishe namna ya kuanzisha uzi ili watu wakupe michango yao ya mawazo?Nina Msichana wangu nampenda sana ila kanizidi mwaka mmoja Mnanishaurije wana Jg
ndio mkuu nipe tuMkuu nikufundishe namna ya kuanzisha uzi ili watu wakupe michango yao ya mawazo?
Kama unatumia app ya JF bonyeza hiki kialamandio mkuu nipe tu
Ndiyo, wee id yangu tishio kuliko hata hiyo bajeti!Hahahaha mbona kama umetaja bajeti ya Tanzania mkuu?