Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Ebu malizia niwoneBabuu hayo majina ya mwisho vepe teh teh teh teh![]()
jina kaaaaaa.......sijui nimaliziee ila ngoja niache tu utanichapa
Ebu malizia niwoneBabuu hayo majina ya mwisho vepe teh teh teh teh![]()
jina kaaaaaa.......sijui nimaliziee ila ngoja niache tu utanichapa
Yako nitainunua fasta kwa 10,000/-
Waaow mteja wa ukweli
Kwaresma inakaribia kuisha, hope tutarudi kazini.
Hahaha hivi dhambi zitaisha kweli,mwezi mmoja wapoole baada ya hapo kazin tena
Buku tu.... atakayenipa najikataa mazee
niuzie mmCc jje'sumenifanya nimuonee wivu Daby ... Ngoja namimi nikanunue simatifoni ili unitext wasapu
hahahhah hivi kwa nn una aleji na kule au ulijua wanauza mboga mboga

Salute kwakoMambo ya kuonyeshana vikojoleo laivu sipendi mimi.... raha ukione mkiwa wawili