- Thread starter
- #81
Huyu yake inakesha jukwaa kubwa lile na nina aleji nalo....
Huko jukwaani umechafua kwa kiwango gani mpaka Daby anaiogopa id yako? Tena bure..hahahhah hivi kwa nn una aleji na kule au ulijua wanauza mboga mboga
Huyu yake inakesha jukwaa kubwa lile na nina aleji nalo....
Huko jukwaani umechafua kwa kiwango gani mpaka Daby anaiogopa id yako? Tena bure..hahahhah hivi kwa nn una aleji na kule au ulijua wanauza mboga mboga
ToobaHivi jje's anajua unayotaka kuyafanya lakini?
haswaaaa mimi huyu huyuKwa id hii hii?
mm ata sijui muulize mwenyeweHuko jukwaani umechafua kwa kiwango gani mpaka Daby anaiogopa id yako? Tena bure..
Mbona bei umeiandika kibabe? Mteja atakuelewa kweli?Mi naiuza kwa tenga bese
Mie huna nina ID hii moja sina uwezo wa kumiliki zaidi ya moja na pia sina matumizi nazo. moja tosha sanaKwa id hii hii?
sawa ngoja niwahi duka la tecnoununue simatifoni nikutext na ww wozap![]()
Yesu na maria... haya bikra shunie..sister yake bonny na sister bikira
Indirectly unamwambia "Shunie njoo tuonyeshane vikojoleo" ndiyo maana hawaruki kumbe.Mambo ya kuonyeshana vikojoleo laivu sipendi mimi.... raha ukione mkiwa wawili
Hahahaha...Indirectly unamwambia "Shunie njoo tuonyeshane vikojoleo" ndiyo maana hawaruki kumbe.


Hahahaha mbona kama umetaja bajeti ya Tanzania mkuu?Nauza yangu 2,787,000,000/=tsh
Nicheki tulonge, mazungumzo yapo!
hahahaha uwiiiHalafu we jamaa jinsia ke za jf unachati nazo sana. Weka namba tigo pesa/ m pesa/ airtel money, watu wakuwezeshe kabisa
Appointment kwaajili ya makabidhiano basi...hahahaha umeipata sema kingine
Aiseeee kumbe ni hivyoIndirectly unamwambia "Shunie njoo tuonyeshane vikojoleo" ndiyo maana hawaruki kumbe.
Hahahaha...
Wachache wanaelewa hii michezo![]()
ungekua unatoka mkoa wetu ungekua kaka yangu kama bonnyYesu na maria... haya bikra shunie..
Kwq hiyo mimi ndiye umenikatalia ukaka sio
Ila umetetewa, endelea tu itakua yeye pia anataka mkachati wozapTooba

Khaaaaaa makabidhiano nitakupm tuAppointment kwaajili ya makabidhiano basi...
Kwa hiyo kilimanjaro haupandi tehna... basi usije kwetu tenaungekua unatoka mkoa wetu ungekua kaka yangu kama bonny