Id Yako ya JF Utaiuza Shilingi Ngapi?

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
33,778
67,775
Umewahi kuwaza kwamba vipi kama matumizi ya id yako humu ndiyo yataamua bei utakayoiuza id husika? Yaani ukiangalia id yako na kuona namna unavyopanga hoja, namna unavyojamiiana na wanajf, unadhani utaiuza shilingi ngapi?

Tufanye kwamba bei ya juu kabisa ya kuuza id ni shilingi elfu kumi (10,000) lakini ukiona kuna muda ulienda kinyume jikate shilingi kumi (10) halafu tuoneshe id yako ingeuzwa kwa shilingi ngapi.

- Angalia hoja na majibu unayotoa kwa members kama yana msaada au unakua umejibu swala husika.

- Umewahi kuleta uzi lakini ukaambatanisha picha isiyohusiana na uzi? Jikate shilingi 10 kabisa.

- Watu wakiquote hua wanajibu vipi posts zako? Majibu yao yaamue kama ujikate shilingi 10 au la.

Mimi yangu ningeuza 990.
 
Kumbe kuna watu ni mapopobawa humu?
mshana jr Kuja hapa
 
Back
Top Bottom