Ict officer ii (computer system administration) tupeane nondo

Yelawolf49

Member
Sep 20, 2017
62
125
Asee jamiiforums sometimes watu tunavunjana moyo vibaya mno utumishi vitu viko simple kama unajua mambo
Nliwahi andika uzi kuomba msaada watu wakabeza
My take just tafuta maswali ya multiple choice online kwa kada husika na ingia utube kuna kozi za redhat sys admin piga
All the best kwako mzee
 
CodeX

Member
Sep 2, 2018
12
250

Asante sana mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom