ICPC yapokea malalamiko kutoka Aliko Dangote dhidi ya CEO wa NMDPRA

ICPC yapokea malalamiko kutoka Aliko Dangote dhidi ya CEO wa NMDPRA

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko dangote kupitia wakili wake. malalamiko hayo yanamlenga mtendaji mkuu (CEO) wa nmdpra, Alhaji Farouk Ahmed ICPC inapenda kufahamisha umma kuwa malalamiko hayo yatafanyiwa uchunguzi kwa mujibu wa sheria

Pia Soma: Aliko Dangote ataka afisa wa Serikali achunguzwe kwa kutumia dola 5m kulipa ada za watoto Uswisi

1765959798789.png
.
 
TUME HURU YA KUPAMBANA NA RUSHWA NA MAKOSA MENGINE YANAYOHUSIANA (ICPC)
Jumanne, tarehe 16 Desemba, 2025

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume Huru ya Kupambana na Rushwa na Makosa Mengine Yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa imepokea leo Jumanne, tarehe 16 Desemba, 2025, ombi rasmi (malalamiko) kutoka kwa Alhaji Aliko Dangote kupitia kwa wakili wake. Ombi hilo linamhusu Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa NMDPRA, Alhaji Farouk Ahmed.

ICPC inapenda kufahamisha umma kwamba ombi hilo litachunguzwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.

John Okor Odey
Msemaji wa ICPC
 

Attachments

  • Dangote.jpg
    Dangote.jpg
    69.9 KB · Views: 10
Back
Top Bottom