icloud unlock for iphones

Ndugu kawaida ya watu wa ios huwa ni kujifariji hakuna simu ya maana kama hiyo,hii ni baada ya kutandikwa bei iliyotukuka.

Ukweli ni kwamba hizi simu sio tu zinaboa,ni kama hazikuwa kwa ajiri ya waafrika.

Utanzania kazi kweli kweli stori za vijiweni bwana nan alikuambia iphone ni bei.?
 
Ndugu kawaida ya watu wa ios huwa ni kujifariji hakuna simu ya maana kama hiyo,hii ni baada ya kutandikwa bei iliyotukuka.

Ukweli ni kwamba hizi simu sio tu zinaboa,ni kama hazikuwa kwa ajiri ya waafrika.

Et waafrica ahaaaaaaa hii kali sana mbona zimejaa haswa africa na soon ataliteka hili soko na kama zinaboa why ndo topseller wa sim dunian keshokutwa anatoa zingine
 
Et waafrica ahaaaaaaa hii kali sana mbona zimejaa haswa africa na soon ataliteka hili soko na kama zinaboa why ndo topseller wa sim dunian keshokutwa anatoa zingine
Hawezi teka soko la africa bana.

Sababu analenga watu flani,labda kama ana mpango wa kubadirika sijui.
 
Si bei ukiringanisha na gari sio na simu zingine zenye kazi kama yake.

Wanaotumia apple products walio na akili kama sisi hawanunui jus for show off na umbuluka mwingine wananunua kwa kazi maalumu kwa mfano wewe hii leo nikakupa ipad na n fundi viatu utafanyia nin zaid ya kuchezwa game na ndo apple wanatoa products zao kulingana na matumizi maalum natumia iphone najua kwa sabab gan hiv unajua wana zile desktop zao tunaita Mac zipo mpaka mil 14..?? Lakin wewe mbulula ukinunua ile utaanza angalizia movies za X kumbe zina kaz zake
 
Wala hujakosea.

Ndio maana kuteka soko la africa haitawezekana.
 
Wala hujakosea.

Ndio maana kuteka soko la africa haitawezekana.

Na ndio mana wao africa wanakuja kuchukua raw materials pale Democratic Repuplic of Congo,pia pa1 na kutoshika africa sana bado ndio topseller wa simu na soko lake kama hujui n asia europe na America ambayo watu wanaoweza kua afford n weng zaid ya africa ambao miaka nenda rud bado mtu hujui kesho tutakula nin...!!! Kesho kutwa jion saa Za africa masharik wanazindua sim mpya sijui itakua 7s na 8 Baada ya wiki utaona pre -order n ngap ndo utajua wanauza au hawauzi.?
 
Nikushauri kitu achana, na hizi simu utashikwa kama MBWA my uncle kaibiwa iPhone6+ imekaa miezi 8, mwizi kashikwa akiwa mkoani this wiki kanyang'anywa simu amewekwa rumande akaambiwa akamtafute mwizi amlete..! Ni ujinga aisei...
 
Hana uwezo wa kutoa icloud huyu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…