Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasiliane
kweli kabisaYeah! iphone ni nzuri zaidi, alafu haziharibiki ovyo kama simu za android. ila inabidi usisahau security ulizoziweka kama password lock, itune au/na icloud
Unataka unambie iphone nzuri sana mbona watu mtaani wanalia nazo sana wakidai ngumu kutumiaHapana kiongozi labda unahitaji darasa. ukishazijulia iphone/ipad huwezi kutumia simu yoyote. Naweza kulinganisha Samsung J7 na iphone ya zamani kama 4S intems of speed and storage
Unataka unambie kila kipengele kina lock yakeYeah! iphone ni nzuri zaidi, alafu haziharibiki ovyo kama simu za android. ila inabidi usisahau security ulizoziweka kama password lock, itune au/na icloud
Ndugu kawaida ya watu wa ios huwa ni kujifariji hakuna simu ya maana kama hiyo,hii ni baada ya kutandikwa bei iliyotukuka.Unataka unambie iphone nzuri sana mbona watu mtaani wanalia nazo sana wakidai ngumu kutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ipo naogopa kuzinunua maana nasikia ukichezea mahali usipojua imejilockNdugu kawaida ya watu wa ios huwa ni kujifariji hakuna simu ya maana kama hiyo,hii ni baada ya kutandikwa bei iliyotukuka.
Ukweli ni kwamba hizi simu sio tu zinaboa,ni kama hazikuwa kwa ajiri ya waafrika.
Pesa ipo naogopa kuzinunua maana nasikia ukichezea mahali usipojua imejilock
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,kinachotakiwa ni kuwa na kumbu kumbu na kila taarifa unayojaza.Pesa ipo naogopa kuzinunua maana nasikia ukichezea mahali usipojua imejilock
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu mhumu si apple id au kuna kingine cha kukumbukaHapana,kinachotakiwa ni kuwa na kumbu kumbu na kila taarifa unayojaza.
Lakini mkuu hela ni yako,wewe ndio unajua nini kinakufaa.
Mzee nmeupdate iphone 6s yng ikapanda ios 11.0 duh hawa jamaa ni hatari. Wameongeza security sanaaaaView attachment 580223
Kawaida apple wako smart sana na new release ya iOS zao. kabla ya ku-upgrade new firmware, inachunguza device yako kama inaweza kubeba hiyo new release iOS. kama inaweza itakuambia upgrade. kama haiwezi inakuambia. kwahiyo itategemea how addicted with iphone na mfuko wako ukoje ununue mpya au uendelee na hiyo uliyonayo. By the way iphone zote zinafanya vizuri mpaka sasa watu wanatumia iphone 4 sembuse wewe mwenye iphone6? Kiongozi huko juu!
Mi nilifanikiwa mbili lakini the rest niligonga mwamba, hasa hivi ambazo zina iOS 10.3.3 ni ngumu sana maana hazikubali kudowngrade kwenda version za chini, ila ukibahatika ambayo ilikuwa na version 10.0 kushuka chini angalau sio ngumu kutoa
oya i5s ukiiupdate ios inaenda hadi hii mpya au inaishia 10??
Look! iphone nyingi kwa uzoefu kuanzia iphone 5s downward zinafunguka. nyingi zitazingua lakini ukikomaa na ukawa na muda wa kucheza nazo zinafunguka. trsust me!
mkuu kwani we unatumia njia gani kufungua icloud locks
Kwa sisi tunaocheza na cracking, patching, reparking na SEO tunaamin hakuna linaloshindikana chin ya jua... Kama inawezekana kujailbreak iphone 7 kwann ishindikane kutoa icloud?... Ni vile tu haya mambo yanahitaj utundu mwingi
Ila iphone ni ngumu sana kutumia pia huwezi enjoy kama androd nasikia ila nahitaji nunua
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaa kumbeItaenda mpya na itakua released tar 13 mwezi huu af baada ya wiki naona ndo wataachia watu waanz kuipakua