icloud unlock for iphones

Look! I am professional! Kuna wengine nawafungulia simu zao huko huko waliko alafu wanasepa bila kunilipa. Tuwasiliane bei ni maelewano!
sawa na eti kwa mfano ukaifungua hawawezi kuitrack na kuja kukukamata kwa mfano kama hiyo simu ilipigwa tukio
 
Kuapdate iOS ya iphone inategemea hardware platform ya hiyo simu w.r.t. new iOS. New release ya iphone ni automatic kuangalia iphone na itakuambia unaweza kuapdate au la, mwanzo kabisa unapoicommand
anhaa hii sawa mkuu
 
Look! iphone nyingi kwa uzoefu kuanzia iphone 5s downward zinafunguka. nyingi zitazingua lakini ukikomaa na ukawa na muda wa kucheza nazo zinafunguka. trsust me!
Sawa mkuu nimekusoma
 
Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasiliane

Mkuu umepoteza simu unamsaka mwizi wako kwa njia hii
Hahahahahahaha watu tunaakili bhana iCloud had never been expoited and will never be.
 
Na zile wanazoziuza used hapa bongo zina icloud eti kumbe mm ciwezinunua used hata sku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanunua unajaribisha pia kwa kuweka line na kupiga simu. vile vile unahakikisha unaondoa icloud kama inayo. iphone mpya utaiweza bei yake? iphone 7 ya ukweli hapa bongo ni kuanzia 1.6m to 2m. hiyo hela unayo?
 
Mkuu umepoteza simu unamsaka mwizi wako kwa njia hii
Hahahahahahaha watu tunaakili bhana iCloud had never been expoited and will never be.
utamsaka kivipi wakati imefungwa na hawezi kuitumia? ungempata kama angukuwa na auwezo wa kuitumia. Mantiki ya icloud kwa iphone ni kwavile iphone zinakuwa na uwezo mkubwa kama pc na mtumiaji unakuta ameweka taarifa zake na mafile yake binafsi hivyo akiipoteza au ikiibiwa pasiwepo mtu ku-access hayo mafile. hukiipoteza ukiwa umeweka icloud it is useless to the owner either. tukiifungua kwa hacking techniques tunaondoa icloud yako na kudisable tracking and you will never get it! hahahhahah!
 

Unachosema ndo ukweli anataka kutapeli watu I cloud si jambo la kitoto
 
sawa na eti kwa mfano ukaifungua hawawezi kuitrack na kuja kukukamata kwa mfano kama hiyo simu ilipigwa tukio
Yeah! ukiifungua kitu cha kwanza ni kuondoa icloud na kudisable tracking ya location kurestt kama mpya. Bila kufanya hivyo utakamatwa
 
Mkuu ofisi iko wapi nikuletee 6 na 7 uzifanyie mazoezi?
 
Yeah! ukiifungua kitu cha kwanza ni kuondoa icloud na kudisable tracking ya location kurestt kama mpya. Bila kufanya hivyo utakamatwa
Hapo nimekupata na je, asilimia ya kuitoa icloud ni ngapi?? simu inakuwa poa kama mpya au performance inashuka kidogo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…