icloud unlock for iphones

Kwa iphone 7 port zimebadilika ni 9999
Njia nyingine ni zile zile isipokuwa ukiifungua huwezi tumia app store
Ila vingine utafanya kama kawaida ...

Usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata apple wenyewe hawawez maana details kama pasword za email unazo wewe mwenyewe simu
 
The mind is everything. What you think you become jaribu kufikiria namna inavyoweza fanyika.
kitu ambacho nimejifunza kutoka kwako unaamini kupita kiasi badilisha mfumo. asante

Aha siamini kiivo ila napenda dynamic mind kwa ninavojua wangekuletea weng saana hzo sim pia kuonesha ukipanga wako ungewaonesha how unatoa...then sio njaa ungetaka make money mana n pesa kubwa sana hyo ambayo ungetengeneza hzo icloud katoe kwnye iphone 4 labda ila sio iOs 7 au zaidi
 
sina njaa nijinsi tu unavyofikiria

Huko ulaya america ambako Code ndio Zimezaliwa wamekomaa wakaona waache lakini wewe huku mdai pesa za almasi na makinikia utwambie natoa yan jus Simple like that hii nimeshindwa kumeza Mr. Na ulaya/america/asia kuna mijitu imekubuhu katika ugeek na yanashinda nayo haya makitu kila siku lakin wap
 
like i said believe what you believe sasa kama unapata info za iPhone maana yake kila kitu kinakuwepo wewe unakuja sema eti email utapata wap tumia kidogo akili kufikiria na sio mdomo kuongea
I am talking from experience. Nimenunu a iphone 6s icloud lock for experimental reasons. Nimeika ndani saiv. FYI the phone was reported lost/stolen and was erased. The same service kama hio ulotumia wewe mimi nimetumia pia. Hakuna email ilokuwa linked na hio device. Kwaio huna la kunidanganya mkuu. I know the tricks used to make people believe they are removing icloud. The only way you can remove icloud apart from given the password from the original owner ni hardware change tu, which is very complicated.

Kuna njia baada ya kupata email ambayo inabidi uongee na mwenyewe umdanganye kuwa umeuziwa tu simu na mtu bila kujua hapo tena yeye kwa ukarimu aingie icloud na aiondoe device kwenye list yake, sijui kama hii ndio mnajisifia social engineering? kama ndio ivo sishangai kwanini there are alot of opportunities in the market for Developers lakini wote wameng'ang'ania kutengeza accounting packages
 
rafiki yangu hapo sikutumia imei no kuna inshu inaitwa UDID kama unajua basi usingeweza hata koment sema nini believe what you believe
Mkuu hio UDID nafikiri hao developers wenyewe wanaijua zaidi kuliko wewe.

Just to show you that i have been using izo services nakuekea screenshot.

Lazima ujue kama hii ishu ya kuondoa icloud watu wanaifanyia kazi kwa udi na uvumba, wanaishia bypassing tu.

Usidanganye watu
 

Attachments

  • Screen Shot 2017-09-12 at 10.30.39.png
    13.3 KB · Views: 67
  • Screen Shot 2017-09-12 at 10.32.19.png
    19.7 KB · Views: 61
Na siku wakiweza hii kitu sinunui tena
 
Fbi hawajawahi kuomba poo icloud,kilichokuwa kinatakiwa ni data za mmiliki wa simu,wakaomba apple wakanyimwa,wakazama chimbo iphone ikafunguka. apple wakataka kujua jamaa wamefunguaje nao wakakaza kusema walifanyaje.

So hata mimi leo nikitangaza natoa icloud lock jamaa wataniliwatanilipa,niwape ujanja waufix faster.
 
Ntagunduaje iphone ina icloud wakati nanunua iwe dukani au kwa mtu kitu cha kukiangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 

FBI walichofanya waliwapelekea waisrael flan waka dismantle ile motherboard kitu ki1 baada ya kingine yana wakaifumua sim yooote ndo wakapata data which is too complex
 
Sawa kiongozi "poor country poor mind" sasa niende kuhack NASA ili iweje? ntapata nini? lakini kwa iphone kwavile wengi tunazitumia na wengi wanapata shida kwanini nisitake my chances to solve them huku nikijipatia kipato? Hiyo imekaaje?
Mtoa mada una busara cjapata ona. Napenda unavojibu hizo negativity za watu juu yako. Angekuwa mwingine hapo naye povu lingeanza kumtoka na kurudisha mijitusi ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bei gan wa unlock

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…