eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,320
- 16,293
Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo.
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii.
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati.
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati.
Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu.
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016
Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo.
Kwanza walifuzu.
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo.