hajjmakwato
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 230
- 154
Habari wanajamvi mimi ni kijana kati ya miaka 30 nina mtaji wa mil 3 nataka kuanzisha biashara ya kuuza icecream aina ya chokstic za maziwa na hata za choklate kama bakhresa.
Naomba ushauri wenu je wazo hili ni muafaka kwa maeneo yetu hasa jiji la Tanga. Mpango wa mashine kubwa kwa ajili ya uzalishaji tayari nishafanya mawasiliano.nadhani inaweza kunigharimu kama 1ml.
Naomba kuwasilisha.