PostGE2025 ICC wanatuchelewesha sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Ni kama nakumbuka kukutahadhalisha wewe na wote mnaotegemea kufanyiwa mambo yetu na watu toka huko nje.
Kwa nini tuweke matumaini yetu kwa watu wengine? Hili ndilo swali linalonitatiza sana.

Kwa nini tumekuwa walemavu kiasi hiki, cha "kutegemea", wakati sisi tunabaki tu kuhimiza wafanye?
Tunategemea pia watuletee maendeleo; kazi ambayo huyo unayetaka wamshughulikie naona na yeye ndicho kipaumbele chake; kutafuta watu waje watupe maendeleo!

Huu umekuwa ugonjwa mbaya sana wa akili kwa taifa hili.
 
Unategemea wengine watoke, wewe ujaze viazi,vitunguu,nyanya nk ndani ukifiatilia na kuhamasisha mitandaoni
Wewe upo hapa mtandaoni ukifuatilia kitu gani; kujipa matumaini kwamba hawapo wanaotaka kuwaondoa hao waovu madarakani, wanaokuwezesha wewe uendelee "kujaza viazi, vitunguu, nyanya...."!
 
Unafikiri ICC inaongozwa na lissu au lema au heche au kitima we lofa?!!!
 
hawa wa ndio viongozi wa Tanzania eti.. what a trash
 
Walio
Tukiongelea ICC mnapaniki, utadhani sisio ndio tuliwatuma muue watanzania kama kuku.
Waliokufa 98% ni wahalifu na walistahili kufa namna ile.
Huku mtaani ukiiba simu au hata kuku, hukumu yako ni KIFO TU
Sasa wale walikuwa MAJAMBAZI, MAGAIDI NA VIBAKA.
 
Walio
Tukiongelea ICC mnapaniki, utadhani sisio ndio tuliwatuma muue watanzania kama kuku.
Waliokufa 98% ni wahalifu na walistahili kufa namna ile.
Huku mtaani ukiiba simu au hata kuku, hukumu yako ni KIFO TU
Sasa wale walikuwa MAJAMBAZI, MAGAIDI NA VIBAKA.
 
Mtaishia kuumia ndani ya mioyo yenu, mwaka 2030 mtauona upo mbali sana.

SSH tulimchagua sisi, yupo pale akitimiza ilani aliyopewa. Mliposusa labda hamkujua kuwa yapo maisha baada ya uchaguzi mkuu.
 
Hakika!
 
Kama aliondolewa kwa nini asiondoke? Inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…