Naona ni kabla..Trend reading ikizimgata hiyo interval na ikiwa Samia atashitakiwa maana ake itakuwa kati ya au baada ya 2030
Naona ni kabla..Trend reading ikizimgata hiyo interval na ikiwa Samia atashitakiwa maana ake itakuwa kati ya au baada ya 2030
Muda utafika haki itatendeka tu , mkoloni alimwaga damu za watanganyika wengi ila huyu kibibi ndio mtu wa kwanza kumwaga damu za watanganyika kuliko hata mkoloni.Watz naona wana maumivu so wanaona kama muda unaenda sana
Itapendeza zaidi kama kazi hii ikifanyika hapa hapa na ifanywe na Watanganyika wenyewe, ICC hao ni wabwekaji tu kama mbwa kibogoyo.ICC haina tofauti sana na UN. Ni taasisi isiyo na nguvu.
Samia ni wa kuwajibishwa na Watanzania hapa hapa Tanzania.
Mtaishi na vinyongo moyoni mpaka 2030, ICC hakuna kesi wanayoweza kumfungulia SSH.Ngoja tume feki imalize kazi kwanza, hio ndio iliundwa ili kuchelewesha mambo, Huyu mama lazima anyongwe
Kaka mkubwa wa USA hilo la kumuua sio jepesi kama unavyoliongea humu jukwaani.ICC haina tofauti sana na UN. Ni taasisi isiyo na nguvu.
Samia ni wa kuwajibishwa na Watanzania hapa hapa Tanzania.
Kwa hiyo kibibi kitapanda kizimbani kikiwa kimesha staafu ili kikafe polepole huko siyo.Mkuu, ICC huchukua miaka kadhaa kuanza kesi. Mfano ni kesi ya machafuko ya baada ya uchaguzi wa 2008 nchini Kenya, Ilichukua zaidi ya miaka 5 hadi kuanza kusikilizwa.
ICC haideal na porojo wala uzushi nonsense wa mamaluki gentlemanNilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Mashahidi waliachwa holela wakarubuniwa na wengine kupotezwa! In the end Ruto akasalimika!Haikuwasaliti wakenya,kesi ya wakenya ilikuwa rahisi watuhumiwa kuchomoka maana ni chuki za kikabila miongoni mwa raia ndo zilisababisha hayo mauaji.