ICC naanza kuwaona ni wazembe

ICC naanza kuwaona ni wazembe

Mkuu,

Umesoma kitabu gani, chapisho gani kubusu ICC inavyofanya kazi?

Naona kama Watanzania wengi wanakwenda kwa assumptions sana bila kutazama facts.
Kwa niaba ya wengine, naomba maelezo yenye kueleweka kwa uchache tu, ni kwa namna gani hiyo mahakama inafanya kazi?
 
Kuna mengi sana ila kwa sababu umetaka kwa uchache tu, hiyo expectations ya timemeframe ya miezi michache kuanza kuona results ni wrong expectations.

Kwa zaidi soma hiki kitabu nilianza kukisoma sijakimaliza, nilitaka kuelewa zaidi hii mahakama inavyofanya kazi. Mambo hayako rahisi kama Watanzania wengi wanavyofikiri.

"Gravity at the International Criminal Court: Admissibility and Prosecutorial Discretion (Oxford Monographs in International Law)" by Priya Urs.

Nakiweka hapa kwa wanaotaka kusoma.

Cc Salary Slip
 
Attachments

Kuna mengi sana ila kwa sababu umetaka kwa uchache tu, hiyo expectations ya timemeframe ya miezi michache kuanza kuona results ni wrong expectations.

Kwa zaidi soma hiki kitabu nilianza kukisoma sijakimaliza, nilitaka kuelewa zaidi hii mahakama inavyofanya kazi. Mambo hayako rahisi kama Watanzania wengi wanavyofikiri.

"Gravity at the International Criminal Court: Admissibility and Prosecutorial Discretion (Oxford Monographs in International Law)".

Nakitafuta nitakiweka hapa kwa wanaotaka kusoma.
Itapendeza hakika.
 
Hawa wanaweza kusubiri kiongozi kaondoka madarakani ndio waanze kumwandama shenzi kabisa.
 
Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .

Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?

Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.

Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?

Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?

Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
ICC si ya kutegemeana sana. Iliwasaliti waKenya!
Kama mnaweza rudini kwenye ibada, za kisasa na za asili!
 
Ruto walked out a freeman
Hakutoka kama free man, kesi ilifungwa baada ya watu kugoma kwenda kutoa ushahidi [kwa vitisho, hongo] , mashahidi muhimu kuuwawa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha.

Ruto by nature ni mafia sana tangu enzi za YK92 ninaamini bila ile katiba bora ya Kenya na yeye kuwahi kufikishwa ICC basi angeiburuza Kenya zaidi ya Museveni.
 
Na pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.
 
Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .

Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?

Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.

Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?

Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?

Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Mkuu watu wamepiga kisomo cha kufa mtu pemba!!! ICC wamesahaulishwa mazima
 
Na pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.
Naam , sahihi kabisa mkuu.

Ruto alikuwa na genge hatari sana walichoma moto watu waliokwenda kujificha kanisani kukwepa genge la wakalenjin waliokuwa wakiwasaka na kuwaua wakikuyu kule Kiambaa.
 
Na pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.
Kilichowaongoza wafanya vurugu oktoba ni udini,kenya kuna ukabila wa kijinga na Tanzania kuna udini wa kijinga,ambao sana upo wa kwa wakristo(katoliki), ndiyo maana mpaka leo bado wanabweka tu maana lao halikutimia
 
Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .

Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?

Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.

Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?

Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?

Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Mna utoto mwingi sana!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Rodrigo Duterte , dikteta na muuaji wa Philippines, kakamtwa mwaka 2025 mwezi March kwa makosa aliyofanya kati ya 2011 na 2019 .

Uhuru Kenyatta na William Ruto walipanda kizimbani 2011 kwa makosa yaliyotokea baada ya vurugu za uchaguzi 2007-2008

Hivyo , muda bado upo na siku itafika nyang'au la Kizimkazi lipata haki yake.
Watz naona wana maumivu so wanaona kama muda unaenda sana
 
Nikirejea kauli ya AG Johari kuwa hata watu wasipoenda kwenye Tume ya Jaji Chande serikali inao ushahidi wa ICC ni dhahiri kuna jambo liko jikoni kuhusu mauaji ya halaiki ya October 29.
IMG-20260222-WA0002.jpg
 
Rodrigo Duterte , dikteta na muuaji wa Philippines, kakamtwa mwaka 2025 mwezi March kwa makosa aliyofanya kati ya 2011 na 2019 .

Uhuru Kenyatta na William Ruto walipanda kizimbani 2011 kwa makosa yaliyotokea baada ya vurugu za uchaguzi 2007-2008

Hivyo , muda bado upo na siku itafika nyang'au la Kizimkazi lipata haki yake.
Trend reading ikizimgata hiyo interval na ikiwa Samia atashitakiwa maana ake itakuwa kati ya au baada ya 2030
 
Back
Top Bottom