Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,541
Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.