IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

Jinga sana hilo,
Linaamka asubuhi lina-enyoy tu JF ya bure bure halafu linafurahia haya yanayomkumba Max.
 
Bora mhangaika bure kuliko mkaa bure anaye kubali na kuridhika na oppression kwa kisingizio cha hana jinsi. Acha ulimwengu mzima ujue kuhusu udhalimu huu tunaofanyiwa wana wa tanzania, ila hatutoacha kupaza sauti zetu.


Lakini haijawahi kusaidia kitu, kama kuna chochote cha kujifunza basi mngejifunza kwa Maalimu Seifu amezunguka Miji Mikuu ya Wazungu karibia yote kutaka Nchi yetu iwekewe vikwazo na Wazungu, na nini kimetokea? Sasa hivi kajichokea kaamua kukaa zake nyumbani!
 
what wrong @JFORUMS have done to the current government?where's free of speech acording to the Tanzania constitutional of 1977? and how we can define dictatorship system due to this governance which aimed to mute the majority?,GOD GUIDES @MAXENCEMELLO
 
Hatuna AKILI TIMAMU
 
Bora sauti zisikike pote duniani

Wamezidi unyanyasaji.


Never Give Up Maxence

The whole heaven and Gods are with you
Bahati mbaya hata zikisikika, mwisho wa yote inaangaliwa sheria za nchi zinasemaje. Ukweli ni kwamba sisi watumiaji wa JF tunaposhindwa kuitumia JF kwa misingi ya haki, usawa, utu na ukweli matokeo yake ndio haya. Binafsi simlaumu Maxence wala Serikali, bali nawalaumu watu wanaoona JF ni kijiwe cha matusi, uzushi na uongo kwa sababu tu wana access ya kuficha identity zao halisi. Binafsi nimetukanwa sana na watu humu hadi nilifika mahali nikataka niache JF. Nakumbuka miaka ya 2010 kurudi nyuma ilikuwa mtu kabla hujapot JF unajitafakari sana kama je hoja yako ina uzito na ukweli? Na hapo ndipo ilikuwa ile mantiki ya JF A HOME OF GREAT THINKERS. Nimekuwa mdau wa JF tangu kabla haijaitwa Jamii Forum, ila ilinichukua muda kujisajili kwa sababu nilijiona bado sina uwezo wa kupost hoja kama walizokuwa wanapost members wa kipindi hicho. Na wala JF haikuwa na matusi, ilikuwa ni hoja kwa hoja tena watu wakidai ushahidi, usipotoa ushahidi BAN ilikuwa inakuhusu. Hii JF ya sasa hivi utoto ni mwingi kuliko GREAT THINKERS
 
Who cares?

Man wewe kweli kichwa mtambo haswaaaa, you are Genius fella. Thump up!!!![emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]

Walk the talk, yani unabishana hadi na Signature yako? Au kuna mtu alihack account yako akaandika hiyo signature without your concern.?

Salute boss hii ni aibu ya Mwaka.
 
Reactions: bht
Mimi naona wanapigania kuwa Watumwa wa Mzungu tu, hakuna kingine!
Hapana watu wanapigania maslahi ya taifa lao. Taifa ambalo watu hawawezi ku-express hasira yao, maumivu yao, mawazo yao nk vifua vikijaa huamua kutumia njia mbadala.... Na watu wakifika huko nobody will be safe. Hata wewe keyboard warrior hutakua salama.
Mataifa yote yanayo kandamiza uhuru wa kujieleza yapo kwenye chaos either economical, political au social. Kwa hiyo for once tumia vizuri kichwa chako, Mola hakukiweka juu ya mabega kwa bahati mbaya.
Alitaka uone beyond what you see.
Usiwakwaze watu bhana... Ni haki yako kutoa maoni yako na inawezekana ni mazuri sema timing yako ni mbaya.
Unless otherwise na wewe UNATANIA kama kawaida ya mtaa wa saba.
 


Hamna kitu kama Uhuru wa kujieleza Dunia hii, unaweza kufikiri kwamba uko huru lkn hauko huru kama unavyodhania ni kwamba tu labda hauelewi kinachoendela Dunia!
 

Kaka umeuzikiliza wimbo wa 'Darasa'? na quote kidogo amesema.....'Usimwelimishe CHIZI utapoteza muda wako...' Mwisho wa kunukuu.Hao ni wale waliolewa pesa za serikali na wizi wa serikalini
 
Good point
 
barbarosa anahitaji ban ya maisha hana nia njema na melo,mods toa hii kitu
 
Acha waisome number... Dunia nzima sasa inakodoa macho ... kazi kweli kweli ...
 
Basi jana kwenye ulanzi jamaa wanalonga TZ tumeshakuwa blacklisted🙂
 
Kaka umeuzikiliza wimbo wa 'Darasa'? na quote kidogo amesema.....'Usimwelimishe CHIZI utapoteza muda wako...' Mwisho wa kunukuu.Hao ni wale waliolewa pesa za serikali na wizi wa serikalini
Hapana ndugu yangu sijausikiliza, Ila akhsante sikujua kama huyu mdau ni chizi... Ngoja niendelee na kazi nyingine.
 
Inaonekana unafahamu mengi sana wewe, embu anza kwa kutuambia hivi zabuni za kusupply scanners za bandari, vitanda vya muhimbili na ujenzi wa barabara kuanzia morocco mpaka mwenge ni kampuni gani zilishinda?
 
Mimi ni educator by profession, huchukia kusifiwa na zaidi hupenda waniambie udhaifu wangu ili nijisahihishe. Oha wacha kutaka kukamata watu, mnaumizwa na maneno yenye ukweli. Je watu wakifanya actions against haitokuwa balaa zaidi?
 
Mkuu Barbarosa,

Labda tujiulize kwa pamoja, kwa nini kuna waandishi wa habari kutoka hayo mataifa (kwa wazungu) hapa nchini kwetu? Majukumu yao ni nini? Je, kwa upande wako, kwa uzito huu huu unaoona sio sawa kwa suala la Maxi kuhusisha wazungu, vipi viongozi wa serikali yetu wanapofanya nao mahojiano na taarifa za serikali kurushwa huko kwao? Mheshimiwa Rais wa awamu ya Tano, alipofanya mkutano na Wahariri pale Ikulu, miongon mwa waandishi waliohudhuria walikuwa ni wa vyombo vya habari kutoka kwa "wazungu", hili unalisemeaje?

Kaka ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…