Ibrahim Traore Special thread

Ibrahim Traore Special thread

🇭🇹Haitian Lawyer Sends Powerful Letter to Burkina Faso’s Ibrahim Traoré | African Unity .
Mr. President,
It is with deep respect and sincere admiration that I send you this letter of support at this crucial time for our nation. Your unwavering commitment to Burkina Faso’s sovereignty, your courage in the face of security challenges, and your willingness to restore hope to a long-tested people are admirable.

You embody a generation of courageous leaders, resolutely geared towards justice, dignity, and emancipation of our continent. Under your impulse, the Burkinabe people gradually regain faith in their future and in their ability to rise, unite and stand.

We encourage you to pursue your noble mission with determination, while still listening to your people. The road is still long, but you are not alone: youth, patriots, and lovers of freedom are with you.

Please receive, Mr. President, the expression of our unwavering support and commitment to your side to build a free, strong, and sovereign Burkina Faso. Homeland or death, we shall overcome.

With all our respect, Captain.
Claudin Jeannot
Sociologist / Lawyer
Native Haitian, Haitians are with you, unity is strength.
#topfansfollowers #TopFans #followersreelsfypシ゚viralシfypシ゚viralシalシ #followersreels #africa #ghana #ghanamilitary #viralvideochallenge #trendingreelsvideong
FB_IMG_1745813389924.jpg
 
Ni mjinga fulani hivi huyu jamaa, kachukua uongozi kimabavu na kupiga mapicha ya magwanda yake, ameharibu demokrasia. Wewe waza hapo Tanzania yaani JWTZ wachukue uongozi wa nchi muwe mnaona magwanda tu ya kijeshi kote hadi ikulu, hauruhusiwi kukosoa chochote, nchi mnaishi kwa hofu kwa kuongozwa kijeshi jeshi.
Wee mkikuyu,hili jambo sisi watanzania tunalitamani litokee hata leo...nyie pambaneni na kina Kalonzo Musyoka
 
Ukisikia watu wavaao ngozi za kondoo na kumbe ndani ni mbwa mwitu ndiyo kama hawa. Hebu fuatilia kisa hiki kwa makini. Inaogopesha.
 
Akitaka apate heshima kubwa atengeneze mifumo na sio kujitengeneza yeye .

Na ikifika miaka 10 aondoke asikae Sana madarakani akaishia kuharibu
Sio kila kilicho fanyika nje ya bara hili kinaweza kua pasted pia huku. Hili la mifumo naonaga wengi sana wanalizungumzia; Africa na mifumo, wapi na wapi? Enzi za JK hapa bongo, aliweka mifumo imara though chama kilikua na nguvu kwenye kila kitu, unamkumbuka Tido Mhando wa TUT then TBC? Chama kilimnyang'anya U CEO wa pale, Bunge again, Mzee 6 aliligeuza sana, means JK alitaka kila chombo kiwe independent, mwishoni mwa siku chama chao kikamtaka mzee 6 abadiri jinsia yake, kama hawezi, tupa kule, CAG nadhani kwa mara ya kwanza alikua na nguvu kweli kweli hadi kisababisha bunge kubadiri barqza la mawaziri several times, vyama vya upinzani as well, vilikua very strong, finally chama kikashika hatamu kama tulivo fundishwa kwenye somo la siasa enzi hizo, (vijana walio soma civics hawajui haya mambo ) hatamu zimekua hatamu hadi leo, police, jeshi, TRA, bunge, mahakama, sekta binafsi etc ni wimbo wa chama kushika hatamu; ukienda kinyume tu, hueleweki. Africa na mifumo? 😢 😭 😢
 
🇧🇫 Capt Ibrahim Traore hands over the cup to the winner of Coupe du Faso (Cup of Faso), the Burkina Faso football championship. The winning club is Rahimo FC against Sporting FC Cascades. Congratulations to the winner and hard luck to Sporting FC.

Capt Traore is a big fan of football. From time to time, he invites some well known international players to come and play with his presidential football team.

ADI

➡️ Follow for more!
JOIN ADI! Visit our website to register & more 🔗 Link in bio

#africandiasporainternational #adi #africa #african #africandiaspora #AfricanCommunity #africans #weareafricans #Alkebulan #ImAFan #TheCore #diaspora #AFRISTO #AfricanDiasporaCommunity
#UnitedAfricanDiaspora
#IbrahimTraore #BurkinaFaso #football #CoupeduFaso #sports
 
BURKINA FASO YAVUNJA REKODI AFRIKA KWA KUZINDUA MABASI 155 YA SHULE BILA MALIPO KWA WANAFUNZI.

Katika hatua kubwa ya kuonyesha dhamira ya Serikali ya sasa kulijenga Taifa la kesho, Burkina Faso kupitia kampuni ya usafiri ya kitaifa SOTRACO, imezindua mabasi mapya 155 ya kisasa kwa ajili ya kuwahudumia Wanafunzi kote Nchini.

Mabasi haya si ya biashara, bali yameelekezwa maalum kwa usafiri wa Wanafunzi kutoka nyumbani kwenda shule na kurejea salama bila gharama yoyote. Kwa maneno mengine, Wanafunzi hawalipi chochote.

Juhudi hizi ni sehemu ya dira ya maendeleo ya Serikali ya mpito ya Burkina Faso chini ya uongozi wa Captain Ibrahim Traoré, ambaye ameendelea kujitokeza kama Kiongozi anayejali maslahi ya Wananchi wa kawaida hasa Watoto na vijana.

Katika hafla ya makabidhiano, mmoja wa Afisa wa SOTRACO alinukuliwa akisema:

“Tunalenga kuhakikisha kila Mwanafunzi anafika shuleni kwa usalama na kwa wakati. Hii ni haki ya msingi, si fursa ya kifahari.”

Hatua hii imepokelewa kwa furaha na Wazazi pamoja na Walimu Nchini humo, ambao kwa muda mrefu walikumbwa na changamoto ya usafiri wa Wanafunzi, hasa kwenye maeneo ya Vijijini na pembezoni mwa Miji mikuu.

Kiongozi wa kijeshi, Captain Ibrahim Traoré, ameendelea kuwa na mvuto mkubwa barani Afrika kwa sera zake za kupambana na ukoloni mamboleo, kukuza uzalendo, na sasa kuwekeza moja kwa moja kwenye sekta muhimu kama elimu, afya, miundombinu na usafiri.

Hatua hii ya mabasi ya shule bila malipo ni zaidi ya mradi wa usafiri ni ujumbe kuwa Burkina Faso inaamini katika uwekezaji wa moja kwa moja kwa Watoto wa Taifa, na huenda ikawa mfano wa kuigwa na mataifa mengine barani Afrika.

Ligi nyingi zimeanza tayari na tushaanza kupiga hela kama kawaida yetu....jiunge nasi mapemaaaa sana upige mpunga kwa mikeka ya uhakika kwa asimilia kubwa.
1755170850767.jpg
 
Kama ulikua hujui kuwa TRAORE AMEKATAA MSAADA WA MISIKITI KUTOKA SAUDIA ARABIA wacha nikufahamishe;-
Rais wa BURKINA FASO muheshimiwa IBRAHIM TRAORE,
Amekataa msaada kutoka SAUDI ARABIA,
Wakutaka kujengwa misikiti 200 nchini humo,
Akikataa msaada huo kapteni TRAORE amesema;-
" Msaada wanyumba za ibada ni jambo muhimu sana,
Lakini kufanya ibada ukiwa na njaa ni sawa na kupiga kelele tu,
Kama SAUDIA ARABIA inataka kutupa msaada,
Itupe msaada kwa kuelekezwa katika miradi ya miundombinu muhimu,
Kama vile shule, hospitali pamoja na biashara,
Zinazoweza kuleta ajira kwa wananchi wa BURKINA FASO,
Kwasababu tayari nchini mwetu kuna idadi kubwa ya misikiti,
Ambayo mingine haijatumika kikamilifu mpaka sasa,
Sasa kama msaada wenu maelekezo yake ni misikiti tu hatutaki,
Kwasababu hicho siyo kipaumbele chetu kwasasa,
Lakini pia sisi hatujaomba msaada wowote kutoka kwenu,
Japo mukitupa hatuwezi kukataa lakini musitupangie vitu vya kufanya,
Balozi nimekuita hapa ili usikie msimamo wetu,
Lakini pia nimekuita hapa ili umpelekee ujumbe huu mfalme wako,
Mwambie awe na adabu kwa watu wa BURKINA FASO,
Asitupangie vitu vya kufanya sisi hatupangiwi na mtu,
Hii ni nchi huru ashike adabu yake hawezi kutupangia,
Nina kueleza haya leo hadharani kwasababu,
Nilishampelekea ujumbe kwa maandishi kupitia balozi wangu kule kwenu,
Kuwa hicho anachotaka kutusaidia siyo kipaumbele chetu kwasasa,
Matokeo yake amewatuma watu wake waje kuniomba nikubali huo msaada,
Kwani ni lazima mtu au nchi kupokea msaada,
Kwanini ananilazimisha nipokee huo msaada,
Unanini kwani huo msaada wa misikiti ndani yake,
Labda nimwambie tu kuwa ninajua ana ushirika mkubwa na marekani na ufaransa,
Na kwenye hili naona anatumika kutaka kutuangamiza hatoweza,
Mimi nina akili kuliko yeye huyo kiongozi wako,
Ndiyo maana anakubali kutumika kama kibaraka,
Sasa nenda kamwambie ashike adabu yake.
IMG-20251121-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom