Ibrahim Traore Special thread

Ibrahim Traore Special thread

Kaanza vizuri.

Ila shida ya mwafrika hachelewi kubadilika na kuanza kuua wapinzani wake, kung'ang'ania madaraka nk.

Ikulu huwa ni tamu sana kiasi kwamba watu huingia vizuri na kubadilika kadri muda unavyokwenda (kama Magu na dada yake walivyotuchenjia).
 
"We Are Not In A Democracy, We Are in A Revolution," ~ Captain Ibrahim Traoré 🇧🇫

The President of Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré, took the opportunity to deliver a speech during the flag-raising ceremony on Tuesday, April 1, 2025, at the Koulouba Palace. He clarified the political situation in Burkina Faso, which is indeed in "a revolution and not a democracy."

If we have to say it loud and clear here, we are not in a democracy, we are in a popular, progressive revolution,” said the President of Faso, Captain Ibrahim Traoré, loud and clear during the flag-raising ceremony on April 1, 2025.

"Everyone needs to understand this. It's even more surprising that those who are supposed to be intellectuals, who have been to school, can imagine that a country can develop in democracy," he protested, before adding, "that's false." "It's impossible to name a single country that has developed in democracy. Democracy is only the end result," argues Captain Ibrahim Traoré.

To achieve this, he suggested, "we must necessarily go through a revolution, and we are indeed in a revolution." "For those who haven't yet understood this, we're still saying it loud and clear," the president insisted. He insisted that "everyone must incorporate this" from now on.

"We will continue to play our role of communicating, explaining, and making people understand what our revolution is. So this question of democracy or libertinism of action or expression has no place. As much as you think you are free to speak and act, the other is also free to speak and act, and there we end up in a society of disorder," clarified the President of Faso in conclusion.
1743670108195.jpg
 
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, anaongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa 50% na kupunguza mishahara kwa wabunge, mawaziri na wanasiasa wengine kwa 30%
1743694066695.jpg
 
Mifumo haijawai kumkubali mtu mmoja, ukitoka wewe anaingia mwingine kwenye mfumo, ile kauli ya pengo halizibiki huwa haipo; anachotakiwa kufanya, mbali na kufanya maendeleo anatakiwa atengeneze mfumo ili yeyote atakayeingia aweze kuendana na huo mfumo.​
 
1743741637428.jpg
🇧🇫BURKINA FASO kufungua kituo kipya cha Kitaifa cha utengenezaji wa nguo na maendeleo asilia.

Wakati mataifa mengine yanangoja USAID, ambayo Trump ameizuia, Faso inatoa fursa kwa raia wao kujiboresha.

Kuhakikisha wanapata zaidi kutokana na pamba wanayozalisha.
 
Anafanya vizuri na ni mfano wa kuigwa hadi Sasa katika kutetea maslahi mapana ya taifa lake, lakini tumpe muda tuone kama ataendelea na mstari huu au itakuwaje
 
Kiongozi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré afunga hat-trick katika mechi ya kirafiki iliyojaa mashabiki wengi!⚽🔥 Timu yake ilitawala mabao 8-2 dhidi ya vijana wa Adebayo, huku magwiji kama Jay-Jay Okocha wakihudhuria.
1743812938941.jpg
! 😉
 
Burkina Faso 🇧🇫, Rais, Ibrahim Traoré Amesitisha Usafirishaji wa Korosho.

Ili kufanya korosho ghafi ipatikane kama malighafi kwa ajili ya viwanda vya ubanguaji viwandani nchi nzima, usafirishaji wa korosho ghafi nje ya nchi umesitishwa katika eneo lote la taifa hadi itakapotangazwa tena,".
1743962678971.jpg
 
Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore Amheshimisha Thomas Sankara

Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore ameupa jina la Boulevard Charles de Gaulle na kuupa jina la Thomas Sankara.

"Leo hii Boulevard imeitwa Boulevard Thomas Sankara badala ya Boulevard Charles de Gaulle. Kwa hiyo leo tunajivunia sana. Kwa sababu kama Boulevard ingepewa jina la mabeberu, leo tunafikiri kwamba sisi pia tuna mashujaa, pia tuna Burkinabe shujaa [ambao tunaweza] kutaja hizi Boulevard au mitaa," alisema Kapteni Traore.

Kapteni Traore pia aliweka jiwe la msingi la kaburi la Thomas Sankara. Kaburi hilo litajengwa kwenye eneo la mauaji ya Thomas Sankara na wenzake 12.

Pia alizindua siku 15 za mazungumzo ya uzalendo kwa heshima ya Sankara.

Ingawa wanamapinduzi kama watu binafsi wanaweza kuuawa, huwezi kuua mawazo ✊🏿
 
Ni mjinga fulani hivi huyu jamaa, kachukua uongozi kimabavu na kupiga mapicha ya magwanda yake, ameharibu demokrasia. Wewe waza hapo Tanzania yaani JWTZ wachukue uongozi wa nchi muwe mnaona magwanda tu ya kijeshi kote hadi ikulu, hauruhusiwi kukosoa chochote, nchi mnaishi kwa hofu kwa kuongozwa kijeshi jeshi.
 
Rich History of A Great Visionary Leader from Humble Beginnings
1745433388086.jpg
 
"" Niliweka imani yangu kwa mtu ambaye nilimkamata kwenye picha hii, nikimwamini na maisha yangu, lakini alinisaliti kwa faranga bilioni 5! " - Kapteni Ibrahim Traoré anashuka bomu!

Kiongozi jasiri wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amefichua kwamba mmoja wa askari wake anayeaminika zaidi - mtu ambaye alimchukulia karibu kuliko mlinzi yeyote kwa kweli alikuwa kiongozi mkuu wa majaribio ya mauaji matatu kwenye maisha yake! 😱

Kwa nini afanye hivi? Kwa faranga bilioni 5, aligeuka dhidi ya nchi yake, akihatarisha mustakabali wake kwa masilahi yake ubinafsi. 🩸

"Nimepoteza uwezo wa kuamini," Traoré alisema.

Kitendo hiki cha kushangaza cha usaliti kinaangazia gharama kubwa ya nguvu na safari hatari ambayo wanamapinduzi wa Kiafrika lazima waende ili kuwalinda watu wao.
1745513825768.jpg
 
Back
Top Bottom