Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,098
- 828,942
Nimehamasika na maajabu anayofanya huyu rais kijana nchini mwake tena kwa kipindi kifupi sana na kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani.. Ni wazi si wazungu tuu bali hata marais wenzake wa Afrika wanamuonea wivu na kijicho
Kumuenzi nimeamua kuuweka uzi huu maalum kwa ajili yake ukawe Kama kichocheo kwa wengine...
Hotuba zake ni fupi na za kuvutia sana na ziko kwenye mtindo wa picha mjongeo nyingi zikipatikana FB.. Hivyo basi JamiiForums ikiridhia nitakuwa naweka na link za hizo picha mjongeo💪🏿🙏🏿
Mojawapo ya matunda yake ni Burkinafaso kuweza kutengeneza gari zake zinazotumia umeme na kwa kutumia wataalam wa ndani na malighafi za ndani kwa asilimia 100
Kama nawe ni mpenzi wa kazi za huyu mwamba jiunge nami kwenye huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
www.facebook.com

973K views · 39K reactions | Ibrahim Traore anapendwa Sana na Watu wake huko. #FocusDigitoTV | Focus TV Tanzania
Ibrahim Traore anapendwa Sana na Watu wake huko. #FocusDigitoTV