Ibilisi ana sura nyingi

Ibilisi ana sura nyingi

hivi kunamadhara gani nikimpuuza nakumdhihaki shetani ndani ya nafsi
Shetani si mkata tamaa wala mtu wa hamaki... The dude can always get n nail you with a thousand tricks... Ndio maana tunashauriwa tudumu katika maombi na toba kwakuwa kwa hila za mwovu shetani tunaanguka dhambini mara kwa mara
 
how did u know that idiot n naked lier.
 
Katika ubora wako....ya kafara hulindwa na kafara......kama nakuelewa hivi....
Ndio maana matajiri wengi waliopata utajiri kwa njia ya makafara huendelea kutoa makafara kila wakati ili mambo yasiharibike... Lakini mwishowe hushindwa kutokana na ukubwa wa makafara kuongezeka kila wakati
 
.
IMG-20180721-WA0154.jpg
 
Outwitting the devil, kitabu hiki kinaeleza namna shetani anavyo tawala akili za wanadamu na kuwafanya watumwa wake. Kimeandikwa na Napoleon Hill. Kuna soft copy, na pia kuna audio book yake.. Google it
Anasema aliongea na shetani
 
Back
Top Bottom