Mtu anayeweza kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenyewe,tena mtoto wa miaka kumi na mitatu! siyo kwamba Ibilisi alimshinda hapana,ila yeye ndiye aliyemshinda Ibilisi.Hivyo basi,huyo ni mnyama asiyefaa kuishi na binadamu.Mh hakimu umetenda vyema kwa kumpa miaka 30,ila ungetenda vyema zaidi kama ungempatia life sentence..
Mtu anayeweza kumbaka mwanae atashindwa kutenda lipi kwenye dunia hii?
Huyo anastahili afungwe maisha

au anyongwe kabisa...