Ibada ya Freemason

Amefanyia vibaya sana! Sasa hapa ndo kapata faida gani? Halafu na wewe ulipiga picha huyu uoni ka ni unadhalilishaji huyu mama?! Ungekuwa wewe ungependa uwekwe wazi wazi hivi mtandaoni?

Nadhani kafanya hivo kufikisha ujumbe bila chenga maana hata humu JF haiyumkini kuna Wanaume wenye tabia za kishenzi kama hizi kwa wake zao
 
Du wanaume ni wanyama sana



Wanaume..!!! Kila siku napingana na kosa la mwanaume mmoja kuwa jumuisho la wanaume wote,kwani katika dunia hii kuna wanaume bilioni ngapi ambao hawana tabia hizi za kishenzi?Wa kumuita mnyama ni huyo aliyetenda hayo,mimi ni mwanaume lakini nakataa kuwa si mnyama kama unavyotaka kunijumuisha hapo..
 
Nadhani kafanya hivo kufikisha ujumbe bila chenga maana hata humu JF haiyumkini kuna Wanaume wenye tabia za kishenzi kama hizi kwa wake zao
na pia si watu wote wana nafasi ya kupata habari kupitia magazeti au redio kuna wengine wako nchi za nje wanategemea kupata habari za nyumbani kupitia mitandao ya kijamii, mzizimkavu, saint ivuga, etc.
 
Lakini hii kesi ya huyu mama ilitokea nigeria ambako mume wa huyu mama alimtuhumu mkewe kuwa anatembea na baba ya mume
 
Mkuu Ruge kwa kweli nimependa avatar yako. Teheteheteheteheteheteheteheeeee...
 
293237_264860273613480_1415000521_n.jpg

nimejiuliza nimekosa jawabu, hapa kwetu jibu ni utapiamlo na kwa wenzetu ni nini?
 
Back
Top Bottom